Brother Michuzi,
habari za kazi, naomba uniwekee suali langu katika blog yako. Na ninamatumaini ndugu zangu wanaosoma blog yako wataweza kunisaidia.suali langu ni kama kuna mtu yeyote anajua kampuni au wakala wanaoingiza na kuuza magari ya landrover nyumbani anipatie contact zao, nitafurahi sana kama nitapatiwa website zao, email na number zao za simu.
Ahsante sana
Mdau SM
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...