NASIKITIKA SANA KUTOKANA NA VIONGOZI WETU WANAVYOTUFANYIA, SISI TUNANDUGU ZETU NI WAFANYAKAZI KATIKA KITENGO CHA AFYA HAPA ZANZIBAR KIITWACHO BLOOD BANK AMBACHO KIKO CHINI YA WIZARA YA AFYA ZANZIBAR NA WADHAMINI WAKE NI WAMAREKANI.
TUNAKUMBUKA ALIKUJA SECRETARY OF HEALTH AND HUMAN SERVICES WA MAREKANI BW MICHAEL. O. LEAVITT KUTIA MKATABA ZAMANI WAKATI JENGO LINAFUNGULIWA, CHA KUSHANGAZA TANGU MWEZI WA APRIL MPAKA LEO HII HAWAJAPEWA MISHAHARA YAO!
KILA SIKU WANAAMBIWA WIKI HII,PIA WANAOGOPA KUSEMA KWANI UKISEMA UNAWEZA UKATAFUTIWA SABABU UKAFUKUZWA KAZI AU UKAAMBIWA MKOROFI.
MAANA WAMEVUMILIA SANA MPAKA SASA NI VIGUMU NDIO TUMELETE MALALAMIKO HAYA KWENU LABDA MNAWEZA KUTUSAIDIA ILI HIZI HABARI ZIKAJULIKANA PENGINE INAWEZA KUSAIDIA HAYA MATATIZO.
AHSANTE SANA
WAKO YUSSUF

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...