Pole na majukumu !
Sijui nikuite anko au braza najua hutajali !Naomba unitolee hii kwenye blog yetu ya jamii.Mimi ni mdau niliye hapa Bongo, nataka kupiga nondo ughaibuni hasa Norway na Finlandhivyo naomba wadau waliopo huko ambaowanaweza kunipa mataarifa wanisaidie !
Tunaweza kuwasiliana kwa barua pepe
natanguliza shukurani !
Mdau Ally,unataka kuchukua nondo gani na unataka kupata infor zipi?.Kuna useful site nimeweka kwenye blogu yangu ukipata time icheki.
ReplyDeletenondo inapatikana kokote kule utakapotaka,kinachosumbua ni mshiko uko safi?
ReplyDeleteKuna links za kukusaidia, ingia www.watanzaniaoslo.blogspot.com
ReplyDeleteUKIWA NA PESA NA SIFA ZITAKIWAZO UTASOMA MAHALI POPOTE PALE DUNIANI UNAPOTAKA, NCHI ULIZOZITAJA ELIMU NI BURE HULIPI HATA SENTI TANO YAKO KWA SCHOOL FEES LAKINI UNATAKIWA UWE NA PESA ZA KUJIKIMU ZA KUTOSHA KWA CHAKULA, SAFARI, MALAZI NA VITABU NA STATIONERIES TU. UNAWEZA KUPATA TAARIFA ZOTE KWA KUPITIA INTERNET, JUST USE SERACH ENGINES KAMA www.google.com JUST WRITE UNIVERSITY/COLLEGE IN SAY SWEDEN, HOLLAND, FINLAND ZITAKUJA KIBAO NA UTANGALI VILE UNAVYOTAKA, KAMA VILE KWA MASOMO YAKO NAKADHALIKA
ReplyDeleteUnatafuta scholarship au unahela yako
ReplyDeleteShule ziko nyingi just a click on your pc utapata ndugu yangu kama unahela lakini scholaship hapo ndio shughuli nenda huko norway na finland ubalozini uangalie kama wanascholaships
Na siku hizi scholarship za master na phd ndio zipo first degree mshikaji utaganda