Kaka michuzi mimi ningependa uruhusu mada hii ya uvaaji wa cheni miguuni iwe mguu wa kushoto,mguu wa kulia au miguu yote miwili kwa dada zetu ina maana ngani?
nimeomba mada hii uruhusu ijadiliwe kwenye blog yetu ya jamii kwasababu mchumba wangu ni mvaaji wa wa cheni hizo hasa kwenye mguu wa kushoto.watu na marafiki zangu wamekuwa wakinivurunga akili kuhusu swala hilo.
blog ya jamii inatusaidia sana sisi huku U.S.A.kazi njema huko Dodoma.
NB:NAOMBA USITOE EMAIL YANGU NA JINA LANGU ASANTE.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 47 mpaka sasa

  1. I think it is so sex to have ankle bracelet...no problem at all especially for a lady who has beautiful legs...my girl wears that too and looks so pretty.

    ReplyDelete
  2. habari!

    MIe nafikiri siku hizi haijalishi! maana hata wanaume wanatoboa masikio yote! I think Nowadays it is not that sensitive, maana we are not judging people on what they wear!

    Ila nafikiri zamani walikuwa wanasema ukivaa mguu wakushoto tunajua papo hapo wewe ni changudoa! Lakini siku hizi na urembo huu uloiingia sidhani kama itakuwa fair ku judge watu based on that.

    SO i just it is confusing now, people wear anything anywhere!

    ReplyDelete
  3. mombasa twaita kikuku wadada wakivaaa ni vile wapendeza sana mi naona hakuna kingine zaidi ya urembo na nakshi nakshi kwa wana wake binafsi manzi wangu uvaanga sana kikuku na wala sijali ni mambo ya mwambao zaidi watu wa bara wanachukulia vingine hususani wa bara ,wanaume wengi ushangaa wakiona hiyo kikuku so uenda wabongo wengi wa US wanatoke bara i mean mbali na bahari ambapo ndio utamaduni wa vikuku umeenea tafsiri nyingine juu ya vikuku ni hulka ya binadamu kupenda kuchallenge tu lakini hakuna sabb za msingi

    ReplyDelete
  4. kwanza kabisa pole sana ndugu yangu kwan usumbufu unao upata.kwa mueleo wangu najuwa kuvaa cheni mguu wa kulia ni kwamba yuko single,nakuvaa miguu yote ina maana kucheza namba zote. kazi kwako! holla!!

    ReplyDelete
  5. Anko kuvaa cheni kulianziswa miaka ya 80 nchini uingereza..... Wavaaji wa cheni za miguuni walikuwa ni wanawake ambao waliokuwa wanatafuta partner... sana sana wale wenye watoto au walioolewa na kuachika... kuonesha kuwa wako available...

    Miaka ya 90 uvaaji wa cheni miguuni ukaingia kama ni fasheni tu.... and now hata wasichana wanavaa hizo cheni kama urembo na sio vinginevyo..
    Ni sawa sawa na kuvaa pete kwenye vidole vya miguu.

    ReplyDelete
  6. mguu wa shoto mambo poa unaweza siamisha gariwa kuliagari imejaa hasimami

    ReplyDelete
  7. Ni hivi:

    Mguu wa kushoto inamaanisha anatoa huduma kote kote, I mean anapokuwa na wewe utachagua uingie mlango upi. (sorry kama inasound kama tusi)

    Mguu wa kulia inamaanisha yeye ni lesbo ..which means akitoka kwako anaweza akachukuliwa na mwanamke mwenzake.

    Kama hayuko hivo bora umwambie aache kuvaa manake kwa watu wanaofahamu maana ya hiyo kitu watajua anamaanisha.Huoni siku hizi hata kukuta straight guy kavaa nguo rangi ya pink ni ngumu.

    ReplyDelete
  8. well well.....hii inachanganya kwakweli wengine wata judge wanavyojua wengine wataona ni urembo...ila kwa mila za kimasai!!!! msichana ambaye hajaolewa huwana anavaa ushanga mguuni kuonyesha kwamba yuko single...na akishaolewa unavaa miguu yote miwili kuashiria kuwa ni mke wa mtu...ukiangalia wa mama wengi wa kimasai wanaojua mila utaona wamevaa shanga miguu yote miwili....

    ReplyDelete
  9. Kwanza kabisa napenda kutanguliza pole kwa kuchanganywa akili na ndiugu na jamaa.
    mimi nafikiri kwanza kabisa ungetuambia shemeji ni kabila gani kwani Tanzania kuna makabila mengi sana na mengine ni utamaduni wao kuvaa cheni hizo za miguuni kwa mfano wamasai waarusha na hata wamang'ati na wengine wengi.
    pili dada zetu wengi wanavaa kama urembo bila kujua maana yake hata kama zipo maana tofauti,Ingawa ndani yao wapo ambao wanavaa kwa kumaanisha mambo wanayoyajua wao,Na hata kama mtu akisema zinamaana mbaya je tunawachukuliaje wale ambao kwao ni tamaduni kuvaa??

    Hoja hujibiwa kwa hoja.
    Tchao

    ReplyDelete
  10. RUKSA!!! ....usiniulize ruska nini..nenda tanga..makorora ,majani mapana,kisosora kwa michi utapata jibu..

    ReplyDelete
  11. Uvaaji wa kikuku au cheni ya mguuni ni urembo kama urembo wa pete za vidole vya miguu, au hereni, cheni za shingoni, bangili na cheni za mikononi. Haina maana yoyote mbaya ni tabia za watu tu kuhisi mambo.

    Binafsi ni kitu ninachopenda sana lakini kulingana na maneno ya watu nikawa na hofu. Baadaye niliona naitesa nafsi yangu nikamuuliza mama mwenye asili ya Kihindi kwani wao wanavaa pete vidole vya miguu na cheni pia (baadhi) akaniambia ni urembo kama urembo mwingine usihofu vaa.
    sasa nina vaa hakuna anayenidhania vibaya, familia haisemi kitu. kwa Hiyo mimi naomba nikutoe shaka ndugu mwache mwenzi wako avae apendeze wewe ndio unayemjua zaidi. mpendezeshe zaidi na zaidi

    ReplyDelete
  12. DMB ukoduniaya wapi? Kuna light pink inavaliwa na hata wanaume straight tena hata Tanzania nimeona.Kuvaa cheni mguuni ni urembo tu tena unatokea kwa wahindi wanavaa tangu wadogo ni watu tu nainterpretations zao zisizo na kichwa wala mguu ni sawa na kula uroda mpaka kesho najua ni raha ya kusukumwa kwenye bembea wewe unayejua mengine shauri yako

    ReplyDelete
  13. Uvaaji wa kikuku au cheni ya mguuni ni urembo kama urembo wa pete za vidole vya miguu, au hereni, cheni za shingoni, bangili na cheni za mikononi. Haina maana yoyote mbaya ni tabia za watu tu kuhisi mambo.

    Binafsi ni kitu ninachopenda sana lakini kulingana na maneno ya watu nikawa na hofu. Baadaye niliona naitesa nafsi yangu nikamuuliza mama mwenye asili ya Kihindi kwani wao wanavaa pete vidole vya miguu na cheni pia (baadhi) akaniambia ni urembo kama urembo mwingine usihofu vaa.
    sasa nina vaa hakuna anayenidhania vibaya, familia haisemi kitu. kwa Hiyo mimi naomba nikutoe shaka ndugu mwache mwenzi wako avae apendeze wewe ndio unayemjua zaidi. mpendezeshe zaidi na zaidi

    ReplyDelete
  14. Tena Wadau sio hivyo tu! Wake za watu na ni wasomi na wenye stara zao wanavaa. Mvalishe mpenzio
    ni Urembo tu

    ReplyDelete
  15. Anonymous said...
    I think it is so sex to have ankle bracelet...no problem at all especially for a lady who has beautiful legs...my girl wears that too and looks so pretty.

    August 26, 2008 1:15 AM


    NIMEPENDA SANA HII COMMENTS
    YAANI HICHO KIKUKU NI KIBOKO YAKE KWENYE UREMBO WA MPENZIO.

    ReplyDelete
  16. Urembo ni urembo tu mdau
    iwe shingo
    iwe pua
    iwe vidole
    iwe mkono
    iwe kiuno
    iwe mguu

    urembo wa mwanamke ni yeye apendavyo na wewe utakavyokubali na kuzidi kupendezesha

    ReplyDelete
  17. Ni urembo tu
    Mengine yote ubatili mtupu

    ReplyDelete
  18. Ni urembo mzuri
    lakini wanapendeza wale ambao mguu wao unamvuto. ila yeyote ruksa kuvaa

    ReplyDelete
  19. Kwa mila ya kihidi wanashauri uvae silver na si gold kwani kwao gold ni kitu cha thamani sana huwezi kukiweka miguuni

    ReplyDelete
  20. Hayo ni marembo ya kiksasa ya wanaweke, no particular meaning ila ni kupendeza tu. Usihofu. Wanaotua meaning kwa sasa hawajajua zimepitwa na wakati

    ReplyDelete
  21. Hayo ni marembo ya kiksasa ya wanaweke, no particular meaning ila ni kupendeza tu. Usihofu. Wanaotua meaning kwa sasa hawajajua zimepitwa na wakati

    ReplyDelete
  22. Hayo ni marembo ya kiksasa ya wanaweke, no particular meaning ila ni kupendeza tu. Usihofu. Wanaotua meaning kwa sasa hawajajua zimepitwa na wakati

    ReplyDelete
  23. WE DOGO ACHA KUONGEA MANENO USIYO JUA ETI WAZUNGU WA HUKO MWE ! NA WAMASAI JE WALIANZA MIAKA GANI?

    MKUMBUKE CLEOPATRA ALIVAA KILA AINA YA PAMBO HAKUACHA KITU NA HUYO ALIKUWA WA 80'S ? MSISEME MSILO JUA ACHENI KUBWABWAJA.
    NAHUYO FALA ANAYESSEMA ATI UKIVAA UMEOLEWWA WANANIHINO . KALE KAMCHEZO NI KAWATU WAWILI TU TENA WENYE DOA HUHESHIMIANA SASA WE HUWA UNAWACHUNGULIA ACHENI HIZO MNAROPOKA MTAFIKIRI MMEPEWA PILIPILI BILA MAJI ! MAKUBWA JAMANI .

    MWNAMKE KUJIPAMBA UKIWEZA MPAKA NANIHINO JIPAMBE NA WEKA SAFI BASI

    ReplyDelete
  24. we anony wa 26 9:42

    siamini kama we uniishi kwa ajili ya watu, afanye asifanye we hayakuhusu ni juu yake na kama hukumu yeye ndo atachomwa moto. we inakuwasha nini ? jaribu basi na wewe kuvaa uone? wacheni wanawake wajipambe kwa vito na vitomari . wasipo jipamba mnawaona wapaya wakijibamba wanapigwa kote kote. siajabu we una wafuata hao hao wenye cheni sabasaba.

    kwanza kila kifundo chamwanamke kinatakiwa kipambwe kazi kwako mtoto wa .............


    usinibanie bwa shem . hua unanibore
    sana unapo bana commmmmmmmm za watu

    ReplyDelete
  25. Kikuku mguu wa kushoto huyo inamaanisha yuko wazi kwa any opening(anaruhusu sehemu zote) na akivaa kulia huyo ni lesb. hizi ni maana halisi tunazozijua hapa bongo, sasa hawa dada zetu huku wanazifahamu wakifika huko nje huwa wanaweka pazia na kusahau wakiendelea kuiga wasiyoyajua. mwambie kama amevaa kwa kutoelewa na kufuata labda rafiki kavaa na mimi lazima. mpe somo ikusaidie.KAMA ANAFAHAMU KAZI KWAKO KAKA KUFAIDI MILANGO YOTE

    ReplyDelete
  26. Du, mshikaji pole sana. Lakini mbona mguu ulotuletea unafanana na wa kiume???Mguu wa ike haukomai hivyo bwana!! Labda wataka tuambia huyo ni dume anayewataka mabwana za watu.

    Juu ya yote, nijuavyo mimi, kikuku (Kama anon.wa 3.34 alivyokiita), na ndicho kiswahili tulichozoea watu wa maji chumvi, mguu wa kulia ni urembo tu, na mara nyingi huvaliwa na mabinti wenye miguu ya kuvutia(sio kama huo), na kikuku hutia nakshi kinaponing'inia juu ya kifundo cha guu hilo zuri na humtia hamasa kwa mwanamume shababi na mjarab haswa.
    Kinapovaliwa mguu wa shoto, kikuku hili humaanisha alovaa ni dereva wa mashua!!!! Nadhani umenielewa. kazi kwako.

    ReplyDelete
  27. Michuzi na wewe! mambo haya muachie Zeze na kijiwe chake ayajadili.
    Hata hivi picha za harusi zinaboa

    Uiweke au usiiweke hii comment lakini ujumbe umeupata

    ReplyDelete
  28. ingawa sikumbuki ni mguu gani, lakini ilikuwa ina ashiria kuwa mwanamke ni msagaji, hio ni kati ya late 1970 na early 1980. kwa sasa naona wanawake hata hawajui nini wanaashiria.

    ReplyDelete
  29. huo ni urembo tu kama vile kuvaa pete au hereni. Usikwazike, mwache mpenzi wako apendeze.

    ReplyDelete
  30. Nadhani hiyo kufikiria tofauti ilikuwa miaka ya 90 lakini kwa Dunia ya sasa ni urembo tu na hamna cha zaidi.
    Asante.

    ReplyDelete
  31. come on people i think we no look past all of these connetations..what a person choose's to wear and where should be up to the person lets try not look too into things am a married lady i wear mine because it compliments my legs nothing else,
    well thats how it shoud be but i know what our tanzanian society is like i don think we can look at things just has they are..NO OFFENCE an tanzanian myself and very proud.

    ReplyDelete
  32. mtoa maoni hapo juu hiyo ilikuwa zamani sana siku hizi wacha tu akina dada wapendeze mwanamke kikuku hasa anapokuwa na mguu wa bia

    ReplyDelete
  33. We anony DMB,ni nani aliyekupotosha mpaka ukafikiria vitu vya ajabu hivyo?hizo ni just "stereotyping" kwa nini watu mnapenda kufikiria tu mambo yasiyokuwa na maana.swala la mwanamke kuvaa cheni iwe mguuni au kiunoni ni swala la urembo tu kama anavyoamua kuvaa hereni masikioni,mwanamke ana uwezo wa kujipamba vyovyote atakavyo na sehemu yoyote atakayo,na hata kwenye bible wameandika "mwanamke na ajipambe" sasa kinachowashangaza watu cheni kuvaliwa mguuni na mwanamke ni nini? hizo ni fikra potofu.Kaka yangu uliyeulizwa swali ningependa kukusaidia tu kuwa anachofanya mpenzi wako ni sawa kabisa na ni sehemu ya urembo kwa mwanamke wala isikutie hofu.Huwezi ukamridhisha kila mwanadamu anachotaka.fanya kile roho yako inapenda.

    ReplyDelete
  34. My wife anavaaa na ni kwa ajili ya urembo tu. Haina maana nyingine yoyote kwake na kwangu. Mimi pia ninasikitishwaga na kitendo cha wanaume kutoboa masikio, kusuka na kupaka rangi nywele.

    ReplyDelete
  35. Kama walivyosema baadhi ya watu hapo juu ni kwamba zamani sana hii tabia ya kuvaa cheni mguuni ilikuwa na maana yake/ishara,tangazo, yaani kwa kifupi ni hivi zama hizo sehemu yoyote ile duniani iwe ULAYA,AMERICA, ASIA na AFRICA ukimuuona mwanamke kavaa mkufu mguuni alikuwa akimaanisha kuwa alikuwa yuko tayari/available kutoa hudumu za mapenzi sehemu zote mbili (ni vigumu kuelezea wazi hapa kutokana na maadili yetu) lakini baadaye binadamu wakaona ni urembo mzuri na watu wa kawaida wakaiga na kugeuzwa kuwa urembo, kwa sasa mia kwa mia ni UREMBO, hii inafanana sana na siku za zamani ukimuona mtu kasuka nywele na kuvaa heleni alikuwa mwanamke, lakini siku hizi ni urembo na mtu yoyote anaweza kusuka na kuvaa heleni. kuna vitu vingine vinaendana na maeneo na baadaya kuwa fashion kwa mfano uvaaji wa suruali wanawake, nchi za ULAYA walianza kuvaa suruali karne ya 19 baada ya wao kuanza kufanya kazi nje ya nyumba zao yaani viawanda, sasa kwa ajili ya baradi na nature ya kazi za viwandani walilazimika kuvaa suruwali na baadaye ikaendelea kuwa fashion hadi sasa.

    ReplyDelete
  36. hivi wote mliokaa na kupoteza muda wenu kujadiliana swala la kijinga kama hilo, amna kazi za kufanya? kila mtu avae anavyojisikia kuvaa, akiamua hata kutembea bila nguo sawa,

    ReplyDelete
  37. utapauka wewe ukiwa unawazingatia sana waosha vinywa,huyo ni demu wako, sasa ikiwa unasikiliza kila wanachosema utakuja kurusha ngumi.huo ni urembo tu kwani kuna ambao huwa hawavai mkufu wala shanga wanachojua wao ni kuvaa mabaibui, maijabu wanafunika kila sehemu na kisamvu cha kopo hata ukitaka to go utafungiwa kama kawa

    Mbega

    ReplyDelete
  38. zamani ndio ilikuwa na maana tofauti kwa kutegemea huko sehemu gani yani nchi gani au kijiji kipi walikuwa na maana tofauti.siku hizi wala haijali kama mdau mmoja alivyosema wanaume kutoboa masikio yote mawili.
    zamani ilikuwa inaweza kumaanisha huko single au unauza mwili wako kibiashara.

    ReplyDelete
  39. Muulize huyo mchumba kama kweli yupo kuwa anamaanisha nini anavyo vaa hiyo cheni,kama ni kwa urembo tu poa mambo ya kawaida siku hizi,lakini kama anamaanisha kingine basi hakikisha unakijua ili kama vipi na wewe ukandamize usije kunywa sumu bure mwanawani wakikusaidia kukandamiza

    ReplyDelete
  40. kunamtu aliniambia blog za wabongo zinaongoza kwa maneno ya kitoto, mimi sikumuelewa leo ndiyo nimeelewa, yaani ktk ujinga kila mtu anaweka maoni ila penye umuhimu watu kama hawajapaona mnatia aibu wabongo. badilikeni jama.

    ReplyDelete
  41. kunamtu aliniambia blog za wabongo zinaongoza kwa maneno ya kitoto, mimi sikumuelewa leo ndiyo nimeelewa, yaani ktk ujinga kila mtu anaweka maoni ila penye umuhimu watu kama hawajapaona mnatia aibu wabongo. badilikeni jama.

    ReplyDelete
  42. WATEJAAAAA....!

    HII NI ISHARA KWAMBA MPENZI WAKO ANA VUTA GANGE NA ANABUGIA MI UNGA, KAMA UTAKUMBUKA HII ILIANZA KUTOKEA KWA WHITNEY LONG TIME WATU WAKASEMA NA BAADAYE IKAWA KWELI NA SABABU YA KUGUNDUA NI HIYO HIYO SHANGA YA MGUU, PIA ILITOKEA KWA ANNA NICOLE SMITH NA SASA INAVUMA KWA KINA QUEEN LATIFAH!! SASA KIJANA KAMA HUYO MCHUMBA ANA VAA KWA USHABIKI MWAMBIE AWE CAREFUL WATU DUNIA YA LEO WANAPENDA SANA TIGO INAWEZA KUWA KISHAWISHI.

    ReplyDelete
  43. HII ILIANZISHWA MWAKA 1978 NA ALIYEKUWA POPE MIAKA HIYO JOHN PAUL WA PILI PALE MAMA TEREZA ALIVYO KUJA VATICAN KUTEMBEA NA HADI HII LEO IMEKUWA NI MOJA YA ISHARA YA MASISTA WA SHIRIKA LA FRANCISCONI ITALIA.INGAWA HAWA MASISTA WALIKUWA WANAVAA KAMA TEZIBII.KUMBE MWANZIRISHI NI POPE WALA SIYO MWINGINE

    ReplyDelete
  44. Kaka Michuzi,

    Naomba kuwakilisha. Au niseme kuchangia mada hii ibuka. Uvaaji wa shanga mguuni unaonekana kuwa ni mtindo unaozidi kukolea kwenye jiji za East Africa.

    Huku Nairobi, ina maana ni urembo tuu. Aliye na hela zake au ana bf wa mihela huvaa hata chain ya dhahabu au shaba.

    Lakini wengi ni wale wanavaa chain ili kuongeza urembo tuu na wala si vinginevyo.

    Mbona kuna wanaovaa hata chain kiunoni?! Iwe Arusha, Dar, Tanga, Mombasa, au hata Kampala kuna wanawake wengi tuu wanavaa chain hii mguuni kama njia moja ya kuongeza spice kwenye maisha yetu sisi wakiume. Tusichukie ilhali yote hii ni hususan kuongeza ladha kwenye ishu ya kuwa beautiful. Mimi namshauri kaka etu huyo USA amwambie wa kwake aendelezee libeneke tuu wala asihofu.

    Chain mguuni na mwili ukirindima kadri dada fulani anavotembea ndio chakula safi sana kwa macho ya mwanaume kamili!

    Daktari Kamau

    ReplyDelete
  45. KUMBE NI DUME.....!

    MICHUZI VIPI MBONA HII TOPIKI IMEKUWA NDEFU KWANZA ALIYETUMA HII PICHA AMA MWENYE MCHUMBA NI MWANAUME AMA MWANAMKE? MIMI NIKIANGALIA HUO MGUU NI WA MWANAUME LAKINI HUMU NDANI WATU WAME BASE KWA MWANAMKE? ALIYETUMA HII PICHA NI DADA YUPO USA ANAULIZA KAMA NI HALALI MCHUMBA WAMKE(MUME) MTALAJIWA ANA VAA SHANGA MGUUNI LAKINI WATU WAMEJISAHAU NA KUBASE KUWA HUYU NI MDADA NA ANAMGUU MZURI!! KWANZA ANGALIA TOES UTAJUA NIZAKIUME HATA NYAYO PIA SASA JIBUNI SWALI HUYU DADA KAWEKA PICHA YA BWANA AKE SASA NI VEMA KUVAA SHANGA KWA MWANAUME?

    ReplyDelete
  46. EXPRESS YOURSEEEELF!!!!!!!!

    ReplyDelete
  47. Anonym wa 11.45 WEWE WASEMA.

    Unatka kurudisha mada nyuma. Unavaa kikuku mguu wa shoto nini wewe!! Acha hizo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...