Ndugu na familia ya SIA SARIKO MOSHI wa London,Uingereza inpenda kutangaza kifo cha baba mzazi Sia Mzee RWAICHI SARIKO MOSHI (pichani, kulia chini) kilichootokea ncini india siku ya Jumatano 13 Agosti 2008 jioni saa 12 GMT katika Hospitali moja huko India.

Marehemu alinda kufanyiwa operation ya mgu na kubadilisha mfupa wa chuma aliokuwa amekaa nao kwa muda wa miaka 15 na hii ilikuwa ni operation ya 3 katika mfupa huo kila baada ya miaka 15,15.

Habari zilizotufikia ni kwamba marehemu alikuwa amelazwa tarehe 25 July 2008 na operation ilifanyika tarehe 4 Agosti 2008 na ilifanikiwa.ila insemekana madaktari wamegundua tatizo la "Blood Clotting" baada ya operation.

Marehemu ameacha mjane Mrs.VICKY GRACE SARIKO MOSHI wa Arusha,Tanzania na watoto watatu,

Miss SIA SARIKO MOSHI wa London,UK

Miss MARYGRACE SARIKO MOSHI mwanafunzi wa Jangwani Sekondari Tanzania


Miss HAIKA SARIKO MOSHI wa mwanafunzi wa St.Marygoreti Sekondari Tanzania

Ndugu na familia ya marehemu mzee Sariko Moshi inapenda kuomba watanzania wote wenye uwezo wa kuchangia kwa ya gharama ya kumsafirisha Sia na Shangazi yake Mrs. TEETE na mtoto wa Mrs.Teete MERCY TEETE kutoka london hadi Arusha Tanzania na kuchangia pia gharama za kumsafirisha mjane Marygrace Sariko na mwili wa marehemu kutoka India hadi Arusha Tanzania.

Details za benki ni:
Account details
BARCLAYS BANK
Account No:90521973
Sort Code:20-44-86

Kwa taarifa zaidi mnaweza kuwasiliana na wafuatao:

1.Mr Edson Mushokolwa
+44 7930284048
+44 7984679751


2.Miss Anasia Teete
+44 7958984729
+44 7859819370
+44 02085465900

Napenda kutanguliza shukrani kwa watanzania wote watakaoweza kusaidia ili kuweza kukamilisha shughuli zote kwa ajili ya mazishi huko Arusha,Tanzania.

Mungu ailaze roho ya marehemu mzee RWAICHI SARIKO MOSHI mahali pema peponi na awape nguvu familia ya marehemu katika wakati huu mgumu.

Amen

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Sia poleni sana kwa kufiwa na Baba yenu, Mungu amlaze pema. Amen. Sasa huyu Edson anachangisha watu kwa nguvu, mpaka kupiga simu kuuliza "mbona hamjaweka hela kwenye account?" inahusu nini wakati wote mlikuwa mmekwisha ondoka? Just in case hukufahamu hilo, anafanya vibaya - Mchango ni hiari.

    ReplyDelete
  2. POLENI SANA SANA kwa msiba huu. Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu. We hope mtaendelea kutupa taarifa zaidi kuhusu mazishi n.k. kwa kutumia blog hii ya Michuzi maana wengine tusingefahamu kabisa.

    Natoa pia shukrani kwako Mkuu wa Wilaya ya nanihii kwa kutufikishia ujumbe huu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...