TAIFA STARS 1 NA BLACK STARS YA GHANA 1 HAPA NESHNO BAADA YA KIPA WA GHANA RICHARD KINGSTON KUJA MBELE KUSHMBULIA MPIRA WA FREE KICK NA AKAWEZA KUMFUNGA IVO MAPUNDA KILAINI...
Home
Unlabelled
TAIFA STARS NA BLACK STARS SARE 1-1
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Taifa stars ni timu ya kijinga sana hakuna msukumo kwa wachezaji binafsi ni hivihivi hata Olympic tunatia aibu taifa la watu mio. 38 tunakosa hata medali ya shaba hii ni aibu, Kenya hawana tofauti nasi kiuchumi lakini wanajituma hiki ni kitu muhimu ka wanamichezo la sivyo tutaendelea kupoteza hela nyingi bila ya matokeo mazuri, hata tuletewe kocha wa aina gani ni bure kama wachezaji wenyewe hawajitumi
ReplyDeleteTusibweteke na hii draw. Appiah, Essien, Muntari na Mensah, hawakuwepo kwenye hii mechi. Kama wangekuwepo tungelambwa bao mingi tu.
ReplyDelete