hadi sasa taifa stars 1 na ghana 0 baada ya henry joseph kufunga kifundi bao la kwanza hapa neshno sasa hivi!
na kipindi kirefu stars wako nusu ya ghana toka mpira uanze dakika 40 zilizopita
na kipindi kirefu stars wako nusu ya ghana toka mpira uanze dakika 40 zilizopita
vijana kazeni buti tuko nyuma yenu watanzania wote,
ReplyDeletemichuzi tuhabarishe mpaka sasa ghana hawajarudisha tu?
maana wengine tuko maofisini habari tunazipata kwenye hii blog ya jamii
tupe listi ya timu mkuu.
ReplyDelete