
Malkia wa mipasho Khadija Omari Kopa (shoto) na Gea Habib ndani ya studio za clouds fm katika kipindi cha Leo tena wakifanya mahojiano mafupi kuhusiana na tamasha litakalofanyika leo usiku ndani ya ukumbi wa diamond jubilee hall.
Hapo kiingilio kimepangwa kuwa tembo kwa kila kichwa, katika tamasha hilo linaloitwa ubani wa pwani ambalo litahusisha makundi kadhaa ya taarabu ikiwa ni pamoja na
East Africa melody,
New Zanzibar Stars,
Enomizizi kutoka Mombasa,
Baikoko toka Tanga
Tot taarabu
Bi mkubwa Bi Kidude na Muhogo wake wa Jang'ombe naye atakuwepo
kwa habari na picha zaidi nenda
mimi sioni kama ni vizuri mtu kuitwa malkia wa mipasho, inaleta picha mbaya kwani kunamtu atakaefurahia kuitwa malkia wa unafiki??
ReplyDeletehicho sio cheo wala sio sifa mtafutieni jina jamani litakalompendeza.
Kwani nani kakwambia mipasho ni unafiki?
ReplyDeleteUnajua kiswahili au?
yeye mama huyu nampenda sana toka nikiwa mtoto anawapa watu ukweli wao upende usipend taarabu huyu mama utamsikiliza
Hivi NASMA KADOGOO nae yuko wapi siku hizi jamani?
ReplyDeleteSijamsikia wala kumuona siku nying!
hadija malkia bwana habari ndiyo hiyo. endelea kukandamiza mama!!!
ReplyDeleteNiburudani tu
Zee la nyeti una mambo zee la nyeti una fitna. Una tafiti mambo ya tu kwa email. Watajika kwa kufisidi kila kinacho ogoka. Wewe watu wa kutema mate . Huo umbea wako walipwa kiasi gai na huo udaku wako pocho atakupa nani. Ukirush komora nami nitalirusha.
ReplyDeleteKwa maneno hayo ndio maana kaitwa malkia wa mipasho.