Karibuni kwa mara nyingine tena, husika na WAPI...Tamasha la sanaa la kila mwezi. TUNAWAARIFU tumerudi pale pale kwa siku zote, TUTAKUWEPO BRITISH COUNCIL mtaa wa Ohio/Samora kati kati ya jiji.
safari hii tunaliangalia suala mazingira.. tukijumuika na jumuia ya ulimwengu kuazimisha siku ya mazingira na majitaka iliyoadhimishwa trh 8-08-2008..
kwenye mada yetu DHIBITI TAKATAKA... kwenye KIJIWE MAARIFA tutakuwa na Ozzey atakayetoa warsha ya Nadharia ya mziki. Zavara kwenye taaluma ya "KUEMSII" ..hii inaendelea na tunaingia kilinge cha pili sasa. itakuwa ijumaa saa 12 jioni pale British Council.
WASAMBAZIE huu waraka watu wengine kwenye orodha yako ya anuani
Yawaletea
Ozey, Twetu lobo, Ngalawa na wengineo
Mitindo na Kemi Kalikawe,
Wasanii wa sauti ya handaki(undeground), Katika harakati. Madijei, ma emsii, machata, mabreka ,michoro mbali mbali, ushairi,ngoma, maigizo na usanifu mitindo.
Mahali: British Council,
Dar Es Salaam
(maelekezo: Mtaa wa Ohio/Samora, kati kati ya jiji Dar)
Jumamosi,30-08-2008
mida; saa 9 -alasiri-hadi 2 usiku
Mada ya mwezi:DHIBITI TAKATAKA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...