Kutokana na sababu ambazo zipo nje ya uwezo wetu imetubidi kuhamisha ‘VENUE’ YA reunion yetu kutoka ‘Cine Club’ Mikocheni na kuipeleka OG OB’s ROOSTERS’ GARDEN – Msasani Mwisho Zinapogeuzia ‘daladala’ upande wa kushoto karibu na Msasani Primary School.

Start Time: Saturday, August 30 at 11:00am
End Time: Saturday, August 30 at 6:00pm
Where: OG OB’s ROOSTERS’ GARDEN – MSASANI MWISHO
Dress code: Casual White
Contribution: Tshs. 20,000/-
Kwa lolote la ziada tunaomba tuwasiliane kwa barua pepe ifuatayo weruweru08@yahoo.com
PLEASE INFORM OTHERS OF THE CHANGES!!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. kaka michuzi,
    naomba nisaidie kuniunganisha na mtanzania/watanzania wanaoishi Netherlands. kaka yangu amefungwa huko na kwa sasa hakuna mawasiliano alikuwa mgonjwa alilazwa huko. Nikapa watanzania waishio huko nitatoa anuani yake watapata habari za ndugu yetu huo.

    Asante kaka,
    Anna

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...