





Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mzee Bakhresa hayo mahela kheri ungejenga misikiti na vituo vya watoto yatima...najua wadau mtataka kunimeza kwa kauli hii. Kuweni wapole kwani ni mtizamo tu.
ReplyDeleteHawa jamaa nawakubali sana, mimposi nasema tena, waangalieni hawa jamaa next season watafanya kufuru, kwanini kina MO na Manji wasizinunue simba na yanga respectivly. Tuone maendeleo ya kweli?
ReplyDeleteHapa maamuzi yote ni ya Tajiri, ukileta fyoko ambazo hajileti faida kwa timu unatimuliwa, sasa wenzetu mwenye sauti katika timu ni mwananachama mwenye kadi ya 1000/= unategemea nini? Madon chukueni timu hizo.
Huwa sipendi tabia ya hawa wananihii...angalia mtu na mdogo wake walivyokanyaga viti. Uchafu na kutofata taratibu ni tabia yao ya asili
ReplyDeleteKweli Simchezo Picha Ya Chini Nawaona Juma Ping Pong,Jafari Fusso,Samiri Muchacho ,Eddi Na Tajiri Wao Yusuf. Yusuf Naona Open roof Inakua Tu Uzee nini Au Mifezaa..
ReplyDeleteHii timu itakuwa kali sana, je hawana Tovuti hawa jamaa?
ReplyDeletesimba nimesikia wamesoma albadr ili wanaoihujumu timu waangamie!!!! kwa mtaji huo watafika???
ReplyDelete