Kijarida cha "Cheche za Fikra" kiko tena mitaani kama kawaida na habari, maoni na hoja motomoto. Jipatie nakala yako kila Jumanne kwa kumuandikia mhariri@klhnews.com,

tuma habari, maoni, mawazo, hoja, na ushauri. Kijarida hiki ni cha bure kabisa na uko huru kutoa nakala na kugawa bure au kutuma kwa watu walio katika email adress book yako.
Lengo ni kuwasha moto wa mabadiliko ya fikra ili hatimaye tuweze kujenga watu wenye kujiamini zaidi, kuthubutu zaidi na waliochoshwa na mambo jinsi ya yalivyo na hivyo wako tayari kubadilisha jamii yao.

Ukurasa wa mwisho umejaa katuni, na maoni ya watu mbalimbali kwenye mtandao; maoni ambayo watu wengine wanaishia kuyafikiria tu!
Lakini kabla ya kubadili jamii, lazima tubadili fikra kwanza!
Gusa Cheche!!
Mhariri

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...