Tunawatakia Idi Mubarak ndugu zetu Waislamu wote baada ya Mfungu wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Toleo letu la wiki hii limejaa kila aina ya habari na maoni yatakayofanya ufikirie.
Makala maalumu ni mahojiano yetu na Mkurugenzi wa Uchunguzi wa Makosa ya Jinai nchini Kamishna Manumba kuhusu matumizi ya simu za mkononi kufanya uhalifu hasa ule wa kutoa vitisho mbalimbali kwa watu na viongozi. Soma Cheche hapa:
cha-cheche/view-category.php
Na ukipenda kupata nakala yako mapema siku ya Jumanne au ukitaka kuwa msambazaji kwa kugawa kijarida hiki kwa kutoa nakala chache tuandikie mhariri@klhnews.com
Idi Njemaa!!
Mhariri Mkuu,
Waandishi na Waunga Mkono wa KLHN na Cheche!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. sasa hicho kijarida mbuzi kiko wapi na nyie ah?

    ReplyDelete
  2. NIMEFURAHI KUONA HUYU MWANAKIJIJI AMEANZA KUBADILIKA NA KUACHA KUANDIKA HABARI ZAKE ZENYE KUCHOCHEA UDINI NA KUENEZA ITIKADI ZAKE SIASA.SOMETIMES ALIKUA AKIANDIKA HABARI BILA KUZICHAMBUA NA KUZIJUA KWA KINA NAMAANISHA VIVIDE EXEMPLE,ALIKUA AKIZUNGUKA NA BLABLA NYINGI NAKUWAONGOPEA WASIOKUA NA ELIMU NALO NAKUWASHAWISHI WAAMINI NDIO HUO UKWELI,NA UKWELI KWAMBA UKIWA SHALOW UTAMUAMINI NA BLABLA ZAKE.

    BUT NAFURAHI SASAHIVI KUONA ANATUMIA WINO WAKE VIZURI NAKUTUUNGANISHA NA KUACHA ITIKADI AU USHABIKI NAKUTUUNGANISHA WATANZANIA NA KUDISKASI MADA MUHIMU KAMA KUPIGA VITA UFISADI AMBAO UMETUACHA WATANZANIA TULIOWENGI MASKINI KAMA SIO SISI BASI NI NDUGU ZETU NCHI ILIYOJAA UTAJILI WAKILA AINA BUT NIMASKINI WAKUTUPWA.
    HII ITATUSAIDIA KUJENGA TAIFA LETU USALAMA WAKE NA UPENDO NA MSHIKAMANO KWA WATANZANIA WOTE.
    BRO.MICHUZI USINIBANIE MAONI YANGU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...