mdau david kasembe aliyelazwa wodi moja na mpiganaji athumani hamisi muhimbili kitengo cha MOI anatabasamu kwa furaha akiwa na mai sista wake aliyekuja toka marekani kumuuguza baada ya kupata ajali ya gari siku moja na mpiganaji athumani. yeye alivunjika mkono wa shoto na mguu wa shoto na majeraha. mdau huyu anayefanya kazi bandari anawashukuru wote aliomtakia nafuu na kusema kwamba hali yake inaendelea vyema

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...