wakinamama wakichukua futari mezani wakati wa futuru ya voda hoteli yab kempinski kilimanjaro ambapo wafanyakazi na wadau walijumuika pamoja kufungua kinywa
futari inogile
tonge mtu
zawadi kwa kila aliyefuturu
wadau wa voda baada ya kufuturu




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. HIZI FUTARI MBONA HAZIFIKI USWAZI? KWA HIYO SISI TUFUTURU PICHA ZA KILA SIKU? HATA HIVYO KUNA SIRI KUBWA NDNI YA HIZI FUTARI SIAMINI KAMA NI UPENDO NA KUMCHA MUNGU, HAWA NI WAFANYA BIASHARA NDIYO SABABU WANASHINDWA HATA KUWAJENGEA VYOO WANAOLINDA MINARA YAO.

    ReplyDelete
  2. Hawa watu wangepata thawabu sana kama futari kama hizi wangewapelekea walalahoi wenzetu vijijini, au watoto mayatima.
    m3

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...