Home
Unlabelled
hii imekaaje?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
poa tu, kuna ubaya gani? kumbuka watanzania 89% ni masikini wa mlo mmoja kwa siku. Kama wewe ni miongoni wa 11% wenye maisha bora hongera. Hao 89% ndio wawakilishi ya picha ya tanzania sio wachache wanaofaidika katika system ya sasa.
ReplyDeletewatu kama hawa wananitiaga hasira sana ukite ana shida zake za hela huko German anatumia picha za tanzania kuombea hela.Maskini kabwela hawa.
ReplyDeletejamani jamaa kama wangekuwa wamesanifu hiyo picha hapo ingekuwa vibaya ila kwa kuwa ni ya kweli bais haina noma. Hiyo ndo hali ya watanzania tulio wengi so picha inawakilisha kabisa.
ReplyDeleteWe anony wa 5:39, sijui ni Statistics za Chuo gani ulizofundishwa. Wanaposema asilimia 89% ya Watanzania haimaanishi woote wanaishi maisha kama yaliyooneshwa/yanayowakilishwa na hicho kibanda kilichooneshwa. Hizi ni statistical data. Kwani wakisema life span ya Watanzania ni miaka 45 je ina maanisha woote watakufa wakiwa na miaka 45? Hapana!!! Kwa hiyo usiishi sana na hizi statistics hasa ukiwa hujui kuziinterpret (kama ulivyo wewe). Tunaelewa kuna wazungu wengi tu wanatafuta kula yao kwa kuja huku Tanzania na Afrika na kupiga picha kama hizo na kwenda huko kwao na kusema hivi ndivyo hali ilivyo. Kana kwamba kila mtu anahali mbaya. Mbona hatujawahi ona picha za MACHANGUDOA NA WAVUTA BANGI OVYO OVYO kama walivyo Netherlands? Je tukiona hizo picha (kama zingewekwa wazi) TUSEME WAHOLANZI WOOOTE NI MAKAHABA AU WAVUTA BANGI? Jibu ni Hapana! Jifunze interpretation mwehu we!
ReplyDeleteSasa mnakasilirika nini wakati ndio hali halisi yenyewe?
ReplyDeleteAlichofanya makosa ninini huyo aliyesema kuhusu hii picha?
Kama upumbavu huu hatuna bongo angepata cha kuongea?
Mulitaka waonyeshe nini huko Ujerumani? twin towers za BOT?
Nani atazishangaa wakati Frankfurt kuna Towers zinazoshinda hata hizo twin towers za BOT.
sio uwongo. hilo ni band langu na huwa naonyesha mechi live na movies! what the big deal?
ReplyDeleteinasikitisha sana kuona kwamba hawa watu kutoka nje wana ufinyu mkubwa wa current issues...ukiwauliza hata tanzania iko upande wa wapi wa dunia hawajui wanachojua nikuandika mambo mabaya tu kuhusu Africa...!ukizungumzia maskini wapo duniani kote kwahiyo sio issue...
ReplyDeletetatizo sio picha ya kibanda. Tatizo kasema ukumbi wa sinema wakati sivyo. Bora angekuwa kapiga picha vile vijumba vya kwetu uswahilini tunakoenda kucheki mechi au muvi kwa sh 100 nisingemind; ila clearly hicho ni kigenge cha nyanya halafu ye anaandika ukumbi wa sinema
ReplyDeleteNdio maana wabongo hatuwezi kuendelea wala kujikomboa. Huwa hatupendi kuambiwa ukweli au kutaka kufanya jitihada kidogo ya kutafuta ukweli, hususan sisi wabongo wa dar. ukweli ni kwamba asilimia themanini ya wabongo wanaishi maisha yanayowakilishwa na picha hii, na huhitaji kwenda mbali, panda basi au endesha gari upite jimbo la Bagamoyo vijijini. Juzi gazeti la HabariLeo lilitoa picha katika ukurasa wake wa juu ikimwonyesha Rais JK akitoka katika nyumba (kibanda cha makuti) ya mkazi mmoja wa mkoa wa Manyara. Hicho kibanda kina sura mbaya sana kuliko hata huu 'ukumbi wa video'. Wakati mwingine unashangaa kuwa hata hao wabunge huwa wanaendaje kuwaomba wapiga kura walio katika hali ile!! Jamani tembelea Tanzania (vijijini) mjionee kabla ya kushambulia watu wanaojaribu kuonyesha picha halisi!!!
ReplyDeleteJamani sio uongo
ReplyDeletenaona spika kubwa hapo nje kwenye kiti
kwahio ndani lazima pana kideo tu, watu wanatoa pesa waangalie.
Tanzania oyeeeeee
Waambia hao jamaa wa Europa kuwa kwenye hiyo maskani tunaona mambo yote 'live' ya michezo duniani.
ReplyDeleteKwani mfano Uingereza kuona mechi live za SkySports channel lazima ulipie, hivyo kwenye maskani yetu hiyo tunaina live wao huko Uingereza wanasubiri 'highlight za match of the Day' masaa manne baada ya mechi kuisha.
Idumu maskani yetu ya Kiburugwa.
Mdau
Mgeninani Mbagala.
Sasa jama wanawaudhi nini na hili ni suala la kweli? Huu ndo ukumbi wa sinema bongo, watu kibao tumecheki movie na mechi katika kumbi kama hizi na ukumbi ni ukumbi tu uuite kibanda juu yako mwisho wa yote ni ukumbi tu.
ReplyDeleteTusijifanye eti tundhalilishwa wakati hii ndo hali halisi Dar es Salaam na wala si Singida wala Kigoma mwisho wa reli.
TUACHE UNAFIKI
KWANI NI UONGO! NI KWELI VITU KAMA HIVYO VIPO TANZANIA NZIMA, SI HAPO TU, UNAWEZA KWENDA SEHEMU UKAPITA KANDO YA NYUMBA UKAWAONA WATU WALIOLALA NDANI, TATIZO NI SERIKALI YETU, TUNA UCHUMI AMBAO UNATOSHA KUJENGA NYUMBA KWA KILA MTANZANIA HATA KWA KUMKOPESHA LAKINI WANAACHIA WA-CANADA WANACHIMBA MADINI YETU NA KWENDA NAYO KWAO, MIMI NIMEWAHI KUFANYA KAZI MGODI WA DHAHABU SHINYINGA, WALAI WANATUIBIA, NDEGE HUJA MOJA KWA MOJA MGODINI NA KUBEBA DHAHABU HATA YA BILA YA KUWEPO OFISA YOYOTE WA SERIKALI KUHAKIKI NAMNA YA KULIPIA KODI, KWANI KUNA VIWANJA VYA NDEGE VYA KWAO HAMNA HATA MTU MMOJA WA SERIKALI ANAYEANGALIA UKWELI WA MAMBO.
ReplyDeletemimi picha kama hizi nazipinga kabisa. Waafrika mnalalamika kuwa mnabaguliwa...mnadhani kwa nini? Ni kwa sababu ya picha kama hizi. A picture is worth a 1000 words. Wazungu kibao hawatakaa waje Africa...over 90% of them. All they have entering their minds are these pictures. Sasa wewe unadhani wakiona mwaafrica wanasemaje? Si hizi picha tu ndo zinawapa snap ya maisha yako. Basi wanakudharau.
ReplyDeleteMimi napinga kabisa utumiaji wa hizi picha hasa kwa mashirika kama yanayoomba misaada. Tunatakiwa tuweke sheria kuwazuia kutumia hizi picha kabisa...kama China.
SASA WEWE ULIYEWEKA HII PICHA UNASEMA JAMAA WANATUPAKAZIA KWANI NI UONGO..NDANI WATU SI WANAANGALIA SINEMA?SASA WANATUPAKAZIA NINI??HIYO NI KWELI TUPU...WALA ROHO ISIUME SANA
ReplyDeleteAno 26, 2008 5:52
ReplyDeleteUkitaka usidharaulike jisitiri. Jikwamue mwenyewe, ondoa rushwa, ondoa ufisadi, wape wananchi maisha bora hapo utaonekana una heshima.
Unajenga hekalu na wengi wanaishi kama hivyo unafikiri nani atakuheshimu?
2.Na mficha uchi hazai.
Wanaochangia kuwasaidia waafrika wengi wao ni watu wa kawaida tu huku Ulaya na sio makampuni makubwa japo yapo yanayotoa msaada.
Wakiona picha kama hizo wale wenye moyo wa kusaidia ndio wanaanzisha miradi ili pesa zipatikane kupeleka afrika.
MDAU TOKA UHOLANZI UMEUMBUKA SASA UNAONA AIBU, WEWE ULIPOKWENDA HUKO ULIWAAMBIA WAHOLANZI KUWA TANZANIA NI MAGHOROFA MATUPU NA UKAWAONESHA PICHA ZA MAJUMBA YA SINEMA YA CINEMA WORLD NA MLIMANI CITY, SASA ONA MWANAWANE UMEUMBUKA UNAANZA KUYOYOMA KUWA WANATUDHALILISHA, ULIDHANI HAWATAFIKA USWAZI YA DAR, UJUE WENZAKO WAKIJA HUKU HUPENDA SANA KUTEMBELEA USWAZI NA KULA VYAKULA VYA USWAZI ILIMRADI WAONE UPANDE WA PILI WA MAISHA; SI WOTE TUNA MAISHA TAMBARARE NA TATIZO NYIE MKIENDA HUKO MNAJIFANYA MAPRINCE WATOTO WA MACHIFU NA BABA YAKO ANAITWA CHIFU ASAJILE MWAIJUMBA (MSAJILI WA MAJUMBA) NDIYE ANAYEMILIKI MAGHOROFA YOTE DAR, SASA ONA UMEUMBUKA, AIBU IMEKUPATA. KUMBI ZA SINEMA ZINATOFAUTIANA UBORA HATA HUKO ULAYA NA HUO NI UKUMBI WETU WA SINEMA HATUINGII BURE TUNALIPIA. WATANZANIA TUSIPENDE KUJIFANYA WANASIASA HATA KAMA HUTUJUI SIASA, TUSIPAYUKE HOVYO KWA KUSEMA MAISHA BORA KWA WOTE WAKATI BAADHI YETU HAWAJALA SIKU YA PILI LEO NA HAWAJUI WATAKULA LINI. UKWELI LAZIMA UBAKI KUWA NI UKWELI NA UWE WAZI.
ReplyDeleteTukubali hii ndiyo picha halisi ya Afrika ikiwemo Tanzania. Mbona Barack Obama kwao kijijini Kisumu mambo ni kama hayo.
ReplyDeleteGulio alilokwenda Obama akimsindikiza nyaya(Bibi) yake akauze nyanya(tomato)liko chini ya mti na magenge yanafanana na picha hiyo na Barack Obama hakuona aibu.
Suala hapa ni kufikiria ni jinsi gani ya kuboresha maisha duni ya mtanzania na mwaafrika kwa ujumla.
We unaelaumu kwamba wazungu watatudharau kwa kuona picha kama hizi unadhani kuna mzungu anamuheshimu mwafrika? unajidanganya , wanacheka na wewe mdomoni tu lakini mioyoni mwao hawakuthamini hata kama unaishi nao na hiyo ndo hali halisi ya bongo tena DSM haina ubishi labda wewe uwe miongoni mwa mafisadi , hakuna haja ya kumlaumu aliyeweka hiyo picha hayo ndo MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA wakazi wa kandokando ya ziwa victoria kushindwa kula samaki badala yake kula mapanki. Nyie mlioko kwa wazungu msijifanye mnatanua sana huko na magari mazuri mkumbuke mkirudi mtakumbana na hali hii hata ujenge hekalu la namna gani majirani zako ndo sisi wa aina hiyo hata uwe na gari la kifahari la namna gani utaliendesha kwenye barabara za mavumbi mwisho waswhili wanasema MKATAA/MDHARAU KWAO NI MTUMWA
ReplyDeleteThe picture itself has no problem at all. The problem lies on it being posted on the university website. Others universities even the most highly ranked in the word on African studies such as SOAS in UK, that one of Harvard even the SA universities are extremely objective. Most of the Germany universities like Frankfurt, even this one have continued to insinuate the concept of Africa the Dark Continent to date. Just make a minor study by searching their websites and you’ll see the difference. If this picture was posted in other non racist country, it could definitely create chaos
ReplyDeleteacha umbea wewe uliyeongea kizungu chako. watu amabo wako racisty basi hata hawatoi pesa yao kulipia ticket kuja afrika
ReplyDelete