

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hilinijina lajengoooooooooo au nijengo la muheshimiwa mwenyewe!!????Nashukuru.
ReplyDeleteHuo ndio wizi wenyewe mkapa sio mfanya biashara, na mshahara wa rais wa tanzania unajulikana, kapata wapi pesa za kumiliki jengo kama hilo?
ReplyDeleteAisee hivi jengo likipewa jina la kiongozi ni lazima awe ni mmiliki? Tuache ujuha hapa. Hilo ni jengo la NSSF na kwa heshima waliamua kuliita Benjamin William Mkapa Pension Towers kama heshima kwa mzee.
ReplyDeleteMithupu hii picha naikubali sana ina mvuto na uliipiga kutokea kona nzuri na pia wakati mzuri. Moja ya Bonge la picha.
Nakutakia vakesheni njema
Dommy
Hivi mmliki wa hili jengo ni nani hasa. Nakumbuka wakati liaanza kujengwa lilikuwa chini ya TPDC na lilikuwa jinajulikana kama "Mafuta House" nadhani walifika mahali wakashindwa kulimazia. Sijui ni NSSF waliorithi na likawa mali yao. Lakini sidhani ni mali ya BM. Mwenye data kamili hebu atupe ukweli.
ReplyDeletelabda nijitahidi kufafanua hapa.
ReplyDeleteJengo hili linamilikiwa kwa na wamiliki wawili tofauti, kwanza ni NSSF ambao wao walifanya finishing ya jengo,na mmiliki mwingine ni Shirika letu la wese/mafuta, ambao ndio wamiliki wa ardhi/kiwanja, na ndio walianza ujenzi il waliishiwa pesa ya kumalizia
sasa NSSF wao waliamua kuliita Mkapa Benjamini tower (sina hakika na upangaji wa majina ya huju jamaa) sababu NSSF walipewa haki ya kulimiliki kiana kwa mtindo ambao shirika la mafuta halikuafiki,baada ya mvutano wa muda mrefu, iliamuliwa kwamba upande wote wa nyuma achukue NSSF, na upande ulio mbele ambao unatazamana na posta mpya, anahaki ya kumiliki shirika la mafuta, ambao upande huo chini kabisa kuna laboratori maalumu ya kufanyia vipimo vya mafuta,
Ukiangali vema kwa nyuma ndio maana NSSF wameamua kujenga parking nyingine ya gorofa
Ni hayo machache nfahamu wadau
AKILI KU-MCHWA?
ReplyDeletehivi watu wakisema Nyerere road au Kawawa road au Bagamoyo road ina maana barabara hizi za hawa ndugu!?
Wajameni tuelimike!
Wapendwa, hilo ni jina la jengo, kama vile NSSF jengo lao linaitwa Nyerere, au pale UDSM kuna nkrumah. Jengo linaloitwa mkapa nadhani linamilikiwa kwa ubia kati ya shirika la petroli tanzania na nssf. Ni jengo linaloenzi mchango mzuri wa mkapa.
ReplyDeleteArchitectural critic:
ReplyDeleteThe egress/escape route is unsafe. Its not covered and smoke free. In case of a fire outbreak freeing occupants are suffocated and vision free. Learn from WTC in NY on sep 11 2001 people evacuated from higher floors because the egress route was well defined.
Anony wa 1:40PM, naomba nikurekebishe kidogo. The fire escape in this building is ok because it is not enclosed, therefore can not contain smoke. Smoke inaevaporate/inasambaa nje. I am an Architect and I know building regulations have been met. One of the key architectural criticism would be the reduced headroom in the typical upper floors as well as the massive concrete columns (over designed) in the centre of the structure. Jamani ma engineer wa TZ mbona mnapenda sana ku overdesign structures? Hamjui inaongeza sana cost ya jengo and it is absolutely irrelevant. Can you not just calculate the structural strengths required?
ReplyDeleteAnony wa 10:27 swala ni kwamba escape routes are smoke free and covered with its own power system.
ReplyDeleteLabda mdau upo UCLAS. Moto ukitokea moshi utatanda kila sehemu na watu hawawezi kuona wanakoendeka na ni rahisi kujirusha.
Usibishe huo ni ukweli na watu tuko huku na hiyo ndio ajira yetu.
Mr/Ms Engineer I never knew smoke evaporate. It must be an architectural thing and I wouldn't know because I'm not one of them.
ReplyDeleteWord of advice, I don't know where you got your education but I'd suggest that you go back to school and learn English. You have shown a very poor command in this language. I'm sorry but its the fact.
Sasa mnabishana kuhusu mambo ya uhandisi wa hilo jengo au lugha ya inglishi, jamani hivi hamjasikia lile tangazo la haki elimu pale mwalimu alipomlazimisha mwanafunzi kujieleza kwa kiinglishi kuhusu global warming?
ReplyDeleteSIdhani kama ni busara kama mtu umeishiwa hoja kumwambia mwenzako kuwa arudi shule kwa sababu ya 'very poor command of english'. Kwani hiyo english language ndio inaonyesha upeo wa mtu wa kuelewa na kuchambua mambo, IQ yake na kila kitu? Je tuchukulie mtu ambaye hiyo english ndiyo lugha yake ya kwanza, ama kwa kuzaliwa huko au kwa kukulia, na hakwenda shule, lazima atakuwa anaielewa hiyo lugha kwa ufasaha lakini haimaanishi kuwa ameelimika vya kutosha! HEBU TUACHENI TABIA TULIZORITHI KUTOKA KWA WAKOLONI YA KUONA KUWA ANAYEJUA KIINGEREZA NDIO MJUVI WA KILA KITU, NA MBORA KULIKO WENGINE, NA AMEPATA ELIMU BORA, KUKU WA KIZUNGU NI BORA KULIKO WA KIENYEJI, MZUNGU NI BORA KULIKO KULIKO MWAFRIKA/SWAHILI HATA KAMA NI JUHA, UZUNGU NI BORA KULIKO KILA KITU. ''emancipate yourself from mental slavery!!''
Inglishi, inglishi, ndio maana hatuendelei tumebaki pale pale kopi n' paste. Hivi hatuwaoni wajapan, wachina, wakorea, wahindi walivyoendelea kwa kasi kwa kutumia akili na lugha zao wenyewe? Sie tumeng'ang'ania inglish hata kwenye mijadala yetu yenyewe na si ya kimataifa na ukikosea hiyo lugha watu wanaona kama utaenda motoni vile. Mradi ushajua kataka kusema nini na hiyo english si lugha yake huna haja ya kumwambia arudi shule, kwani kushindwa kujieleza kwa lugha isiyo yake hakumfanyi mtu kuwa mbumbu! Alaaa!
ReplyDeleteWewe anony wa 7.40 AM, Education sio English, bali hiyo ni njia tu ya mawasiliano au lugha tu kama lugha nyingine duniani kama kirusi, kichina, kifaransa, kiarabu, kiswahili!
ReplyDeleteKWANINI MSILIITE MKAPA TOWERS ? SISI WAFRIKA TUNA MASHAKA HII KUFANYA YOTE HAYONIKURIDHISHA WAZUNGU ETI NASI TUONEKANI KAMA WAO
ReplyDeleteI think if he don't even know gas do not evaporate I'm going to have hard time to believe his information credibility . If you decide to use English then stick to it and avoid some critical mistakes. We all know that gas doesn't evaporates thats the fact. Apparently he/she think it does and to make the matter worse he/she an architecture. I think the bar is a little higher to these people who have caused some damages in Dar with all those collapsed buildings. I'm expecting an architecture to know English because we strictly use this language from Secondary schools all the way to the Universities.If he/she took Physics he/she would clearly know that gas doesn't evaporate. Kihiyo?
ReplyDeleteP.S. Japanese, Russians, Koreans do not use English as the main languages in their schools. TZ is extremely poor country and can't afford to do that.
We anony wa 7:05, Kingereza chako kibaya kuliko unaemsema. Huyo apo juu ni "Architect" na sio "Architecture". Kwani lazima ajue Physics? Yeye sio physicist. Nyie mnaojidai mnajua kuhusu building regulations, mbona majengo ya New York yana escape stairs za nje tena za chuma na zakuvutwa? Msituzingue sisi. Na msidharau UCLAS au chuo chochote Bongo. We shukuru Mungu umesoma, basi.
ReplyDeleteAnon 10:27 september 27,
ReplyDeleteWalilaumu architects na wewe kama architects ukatetea, lakini unastaajabisha unalaumu wahandisi kuwa column ni kubwa sana! ebu eleza unataka iwe na saizi gani? kama nimedesign na nimepat hayo matokeo unataka nini tena?
kuna risk assessment, earthquakes na etc,
miafrika bwana ata kama imesoma..
We can argue till the end of age but the bottom line is an architect should know that gas/smoke doesn't evaporate. If you use English from form one all the way to the Universities and I'm assuming that you have a college degree. You should have studied physics during your secondary education. You should've know that gas doesn't evaporate unless you are a Kihiyo.
ReplyDeleteze MAFUTA HOUSE in dar,,,
ReplyDeletena nyie archtect ndo nini???
nyamafu
LMAO..........Huyo anayemkosoa mwenzie english yeye ndio kihiyo ++++, at 7.05 , if he doesn`t even know na siyo if he don`t, at 2.02 You should`ve known and not should`ve know. Kwa nionavyo mimi, bora hata kusema gas inaevaporate kuliko kufanya makosa makubwa kama yako, unaonyesha wazi unavyoshabikia lugha ya watu wakati yenyewe haikutaki.
ReplyDelete