JK akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Dk Asha-Rose Migiro
JK akisalimiana na na Rais wa Madagascar Mh. Ravolamanana baada ya kuhutubia baraza kuula umoja wa umoja wa mataifa
JK akiongea na Rais wa Comoro Mh. Abdallah Sambi
JK akisalimiana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Afrika Mh. Jean Ping
JK akiongea na waziri mkuu wa zamani wa japan Mh. Yoshiro Mori

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...