Maestro Vumbi ataungana na mangwiji wenzake akina Kanku Kelly,Tshimanga Assosa,Mafumu Bilali,Keppy Kiombile...nk na kutoa Burudani hiyo tarehe 10-11. Oktoba 2008 katika Ukumbi wa Police Officers Messe Osterbay.
aestro anatajia kufurahisha wapenzi wake na mitindo mipya na ya zamani; Kamanyola,Ogelea piga mbizi,Zembwela,Sendemaa,Washawasha,Sultan Qaboos na uzinduzi wa CD yake mpya"RUMALIZA".
kaa chonjo...
mcheza kwao utunzwa.


Big up Vumbi,ninakukumbuka sana enzi hizo pale Port Access Corner Bar Ubungo,ulikua unaturusha sana na kibao Ngalula,nina washkaji zangu wengi ambao sasa hivi hawapo tena Duniani tulikua nao tunakula raha nao wakati huo,Mungu awalaze mahali pema,I wish kama ningekua bongo hiyo october,lakini pouwa.Mdau UK.
ReplyDeletewazee wazima na mtoe video/dvd ya zing-zong yenu, maana hakuna ukumbusho mzuri wa Maquis, Double O, Safari Sound na mitindo ya zembelwa,masantula na n.k ktk video au dvd.
ReplyDeleteVumbi Dekule washauri wenzio kuwa hiyo kazi ya DVD/Video ni ndogo waonyeshe kazi zako za YouTube.