vimbete
ngazi kuu
darajani
hizi ni zawadi ya wadau mliopita UDSM ambao mmeomba kupaona mlikochukulia nondozzz zenu. itakuwa si vibaya mkatupa kumbukumbu zenu za vioja, raha na karaha pamoja na madenti wenzenu mnaowakumbuka mlipokuwa mnasotea hizo nondozzzz...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. wow u brought the old good memories back,nakumbuka mm na room mate wangu walking down the bridge tunatoka seminar rooms au nkurumah lecture,i have load of pics za darajani kulikuwa na wapiga picha sijui kama wapo mpaka leo au laa,daa thanks mdau,nimefurahi sana.
    Mdau London,from LSC.

    ReplyDelete
  2. WAKATI IDADI YA WANAFUNZI INAONGEZEKA KWA KASI, MKUU WA KITENGO CHA KUSHUGHULIKIA MPANGO HUO ALIKUWA ENG PROF TOLLY MBWETE NDIO ALIYOLETA HIVI VIDAWATI SIMENT INAVYOJULIKANA KAMA VIMBWETE KUENZI JINA KALE. HESHIMA KWA DR AR MUSHI WA IDARA TUKUFU YA HISABATI KWA KAZI HII (Mathematical programming formulations for the examinations timetable problem: the case of the University of Dar es Salaam) Abstract
    Examinations Timetabling Problem (ETP) is the problem of assigning courses to be examined and candidates to time periods and examination rooms while satisfying a set of constraints. z R s x
     
    =  −ΣΣ 
    ΣΣ
    + 1 1 1 2 2 2
    1 2 1 2
    ( 1) (ij j kr ij j k r)
    i j j k rr
    s x s x+ ΣΣΣΣ +
    + 1 1 1 2 2 2
    1

    HIYO NDI KARATASI YAKE INAPATIKANA HAPA http://www.ansti.org/volume/mushi-paper.pdf

    ReplyDelete
  3. MHH, Hapo sipasahau, pananikumbusha nilichukua picha na KCC wangu hapo...hata jina simkumbuki....!! Maisha bwana....tuliwadharau ma-KCC lakini walitusaidia kupunguza Pressure na kupata Nondo's zetu.
    Mdau
    USA

    ReplyDelete
  4. Dah mkuu picha zimenikumbusha mbali sana, nawamiss sana washkaj zangu wa BAGEN (02-05) akina BAM,Lendii, Ndenje, Komba, Ngamesha bila kumsahau ticha wetu Kengera

    ReplyDelete
  5. kaka michuzi thanx for Old memories Hivyo vidawati haviitwi vimbete bali ni vimbwette they were named after Prof Tolly Mbwette the newly Vc of Out wakati ule alikua program manager wa ITP pale udsm jamaa ni kichwa

    ReplyDelete
  6. Aha hata mimi nimekumbuka mdigree, Hizo slab zinaitwa "Vimbwete" sio vimbete, ni jina linalotakana na aliyekuwa mkurugenzi wa idara ya mazingira na matengenezo wa UDSm wakati huyo vinajengwa. Yaani Prof. Salvatory Mbwete (sasa VC wa Dar Open Univ)

    ReplyDelete
  7. kaka MICHUZI, leo ndo umenigusa haswa...mimi nimezaliwa 1976 hapo chuokikuu, nimesoma Mlimani primary, sekondari na high school hapohapo Dar nikiwa naishi chuokikuu,mwaka 1997 nikapata kibarua mpaka 1999 nilipoondoka kuja ulaya kufagia.
    Mzee alikuwa mwalimu wa hapo, naye alishafariki basi kuona haya maeneo kumenikumbusha maisha ya hapo na uhai wa mzee, nakushukuru sana Michu.
    Hilo daraja tulilijua kama" Academic bridge", basi hapo sometimes ngedere wanajaa, mwanamke ukitaka kupita eti wanakutishia kichwa kama wakurukie vile, hadi ungoje mwanaume ndo muwe wote ngedere ndo wanatimua, hivi wadau nisaidieni jamani, hii kitu hawa ngedere sijui wamejifunzia wapi, yaani wanahitaji somo kali la gender issue hawa.

    ReplyDelete
  8. we wa juu hapo ni janet?

    ReplyDelete
  9. Yeah, mimi Janet. Wewe nani kwani? Unaweza kunitumia namba yako ya simu kupitia phillip_jr1973@yahoo.co.uk ili tukumbushane.

    ReplyDelete
  10. kwa aliyeweka hizi picha...safi sana! Jamaa wengi hapa chuoni ninaposoma walitaka kuona picha za vyuo vya bongo. Sasa leo nimewaonyesha hii. Wamesema ni fresh sana.
    Asante

    mtoto

    ReplyDelete
  11. Michuzi picha za mabweni vipi?Nimeishi Hall 1 hapo.Kupigana "Exile" kwa sana .Wewe jamaa wa KCC umenikumbusha mengi sana,LOL.Ze maji ya rangi ya mende pale DUSO kwa Bumu la serikali ya CCM teh teh teh.Merci beaucoup Papa Michuzi.

    ReplyDelete
  12. Michu, tupe utamu pia wa jinsi palivyo hivi sasa pale Faculty of Engineering....Nasikia hivi sasa ni College of Engineering&Technology.
    Tulikuwa na washkaji pale kina Abdunho,kajugunho,Horas,Mpunyo, General na wazee wa ME

    Reach me at xp_sylva@yahoo.com

    Sylva-Fnld

    ReplyDelete
  13. Waaaaauuu
    Wapi rev. square ? it reminds me about " MZEE " nasikia is NO LONGER EXISTING what happened ?
    Wapi NKRUMAH HALL , reminds me siku ambayo Mh. Mutungi... alivyofanyishiwa till the chuo kufungwa ha ha ha ha ha , rember those FFU parading around the campus while we were getting our Kilaji down there at DARUSO , by then hakuna cha kimbwete wala kimbete those are recent marks

    ReplyDelete
  14. janet, email adress phillip? mhmm,maybe tutafika, mimi ni james mwen,kama ni wewe kweli janet tumesoma wote makongo

    ReplyDelete
  15. Juzi juzi tu mwezi huu huu wa tisa baada ya kurudi nyumbani kwa research yangu nilikaa hapo kwenye huo mdigree nikimsubiri mwalimu wangu aje. Yaani hapo nilipokaa niliwaona wanafunzi kibao wanasubiri kuchukua barua zao za kuitwa chuoni, cha kushangaza huyo mtoa barua aliwaweka hao watoto wa watu hapo wasubiri mpaka saa nane ndio awape barua zao pamoja na kuwa walikuwa wameenda tangu saa nne asubuhi. Hivi viti kwa kweli sometimes vinanikumbusha ukiritimba wa chuo kikuu cha Dar es Salaam. Lakini kuna hali fulani hivi ukikaa hapo chini ya mti huo unaihisi kama vile ndio kisomo chako kinakamilika au hata siijui niilezeje. Lakini kubwa zaidi na wanafunzi mnaosoma sasa inabidi wasiige ni lile suala la kuzungusha desa moja watu kumi wooote mnadesa kitu hicho hicho word to word hata mwalimu anajua kabisa hawa walikaa chini ya Mdigree kwenye vimbwete wakawa wanakopi pepa moja! Be creative someni wenyewe na mtafute your own materials sio cut & paste!

    ReplyDelete
  16. Duh kaka nimefurafi sana kupaona tulikochukulia ndozz zetu... aisee those days bwana kweli I can't explain na kusema kweli umenigusa. Tuliokaa maincampus tulipita ngazi na daraja hilo saa nne usiku tukitokea Library au saa nane usiku tukitokea viwanja.

    ReplyDelete
  17. Bro. Michu, Thanks for taking me back into those moments. Nimekumbuka sana enzi hizo na marafiki zangu wote wa Faculty of Science (2002-2005).
    But ni vigumu sana kukuta sehemu zote hizo kuwa nyeupe kama inavyoonekana, bila shaka picha hizo zilipigwa wakati wanafunzi wakiwa likizo.
    Mdau, Scandinavia

    ReplyDelete
  18. kaka michuzi nashukuru kwa hizi picha yani umenikumbusha mbali.Nakumbuka kunasiku tumekesha hapo mdegree tulikua tuko kwenye UE somo lenyewe tulilokeshea ni Economics na wadau sophia kaku,osca munisi na marehemu Patrik matemba ( mungu ailaze pema roho yake).
    kaka tukumbushe pia kafteria ya manzese, daruso na havard.
    asante sana
    mdau rehema nyange
    london.

    ReplyDelete
  19. Inanikumbusha mbali sana na michakamichaka ya seminar,malectures,library hapo kulia ngazi kuu yaani we acha tu...big up kwa SOCIOLOGY CLASS 2004/2007 sana masela wangu SIYABONGA NOMVETE,CHIKOPA,ABBASI,IBRA,TOTOO,NELLY,SAUNA,JOHA,NEEMA,na mahaterz wote.....pamoja na mheshimiwa MWAMI,KAMUGISHA...and many more
    mdau.....
    Mapanga HOUSTON,TX,USA
    godi80@hotmail.com

    ReplyDelete
  20. Kaka Hipoliti umenikumbusha mbali sana,its very true watu wengi wanapita kwenye hilo daraja saa nne usiku wakitoka library,i use to walk with my friend Jesper Katomero tukitokea library kusoma Reader la Mkandara la ps 220 au ps 221.daa kweli maisha kitu cha ajabu sana.

    Mdau Ally.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...