Kaka michuzi,
kwanza natoa hongera kwa wazee wa bwawa la maini kwa kuwasimamisha mashetani wekundu…
sisi arsenal atuvumi lakini tumo mambo ya mpira pesa hatuamini, sisi na kocha wetu kazi tuliyonayo ni kukuza vipaji…
Nakutumia kwa muhtasari picha za jiwanja letu la emirates
MDAU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. nyie endeleeni kukuza vipaji na kushika #3 katika ligi. Wenzenu tunashinda vikombe tu :-D

    Tupashieni pashieni kiti chetu, baada ya wiki si nyingi tunarudi kileleni.
    -Shetani Mwekundu

    ReplyDelete
  2. Chibiriti alianza hivi hivi lakini sasa kafanya jambo la maana kusaidia mayatima.
    Sio hizo picha zako tu ziishie kwenye albamu lakini hukumbuki masikini wenzako wa bongo.

    Muosha kinywa nambari one

    ReplyDelete
  3. Hey good looking;

    I'm happy to see that you enjoy soccer as much as I do :) (not really, najigonga tu). But you sure look nice standing in front of that stadium. Anyways, hivi bwawa la maini maana yake nini?I keep reading it on Michuzi's blog na bado haijaclick.

    ReplyDelete
  4. Hi! Michuzi,

    Pole kwa kuibiwa Ze Fulanazz lakini usijali kwani naona watu wanaendeleza libeneke la the FULANAZZZ....

    Michuzi Hoyeee na the Fulanazzz....

    ReplyDelete
  5. haha hahaa hahaha tih tih tih,,
    ila jaman izi pic za uropa izi??zinapoteza vijana wetu aya kijana tushakuona,,,sema sasa una jipya la akili kuendeleza nchi yako??au ndo potozzzzz watajuaje??
    aisee annon 11.51am umeniacha hoi,,kweli atujapishana yan iyo ze fulanazzzz ze michuzzzz,,,,teh teh,,michu ishakua bendera yetu ngoja siku nami ntakupa my pic na ze fulanazzzzz

    ReplyDelete
  6. bwawa la maini maana yake liverpool....as in liver-pool...sisi washabiki wa chelsea tunawatahadhari msimu huu bao tuuu....kaka martin wakilisha kama kawa.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...