Halo anko Michuzi,
Mimi ni Mdau wako mpya toka Zanzibar, naitwa David
Junior a.k.a JUNIA.Naomba uweke picha yangu.

Hapa niko kwenye ufukwe wa
Nungwi nikipoza swaumu kwa upepo wa bahari. Karibu sana huku, usithubili
mpaka wakati wa tamasha la majahazi ndo uje.
Athante
Mdau Junior

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Dogo Junior umependeezaaa eeh! Sema "shikamoo anko!"

    "Marhaabaaa mtoto mzuri."

    --------

    Kwako Mheshimiwa Ambasada wa ZAIN:

    Enhee... sasa ukiweka DOGO tena under-Haki-Elimu kama huyu hapa hatuoshi vinywa Mh. Ambasada.

    --------

    //Mdau

    ReplyDelete
  2. Haya sio kayasema huyu mtoto bali ni "Mzazi wake".

    ReplyDelete
  3. Zanzibar yetu ndogo hatutaki wageni, akina JOHN rudini kwenu...!

    ReplyDelete
  4. HAKA KA-JUNIA KANAONEKANA KATAKUJA KUWA KA-ANDUNJE. BABA MNGONI JUNIA EEH!

    ReplyDelete
  5. unajua michuzi wewe ndio unasababisha kuchafuka kwa hari yahewa sasa kama huyo mdau anasema hatutaki wageni sasa tukianza kufukuzana anafikili nani ataathilika eti mzanzibar 100% pumbavu kabisa wabaguzi ndio maana wanabaguana wenyewe kwa wenyewe mala mpemba mala muunguja watuache sisi atutaki ubaguzi wao

    ReplyDelete
  6. Tena huyo mzanzibari 100% ni mchafuzi mkuu wa hali ya hewa sijui na wewe unaifikiria familia yake itaathirikaje kama wale mafisadi wanavyoonewa huruma, comments za kichochezi kama hizo hazijengi sijui unamlea wanini

    ReplyDelete
  7. yenu mmeirithi kutoka kwa nani?wenye zanzibar yao hawapo tena, weshaporwa zamaaan! na hakuna tena mzanzibar 100%, walikuwepo enzi za mawe, walobaki wote ni maponjoro tu, mix n match, blood mseto,kuna mseto wa waafrica, waarabu , wahindi ,wangazija na makabila mengine pia! hatueleweki, timbiri vyogo kunde kwa muhogo!!! acheni chuki ma*i, basi hata kwa mtoto ?!, hautufikishi pahala tunarudi nyuma tu!
    John, karibu kwetu malindi simba chai, nikusongee halwa moto moto.

    ReplyDelete
  8. sorry mlugaluga kantelezesha domo I meant, JUNIOR karibu kwetu kula haluuuuuwa!

    ReplyDelete
  9. Michuzi,
    Naona huyo ni Mpenzi wako kwa sana tu. Kamrra mkononi ingawa naona bado yuko kwenye Slim size wakati wewe uko na EOS-5D. By the way naona imetoka tayari Mark II na ina 21Mpx. Na ukiacha hiyo kamera, na yeye ana Ze Fulanaz. Duu, sikujua hata Ze fulanaz inaweza kuwa Fasheni.... Kazi tunaiona. Mdau wako Sikonge.

    ReplyDelete
  10. Ambassador wa Zain mi nakushangaa, ulisema comments za kuchafua hali ya hewa hazitaona mwanga wa jua ila nimeona huyo mtu anayejiita Mzanzibar asilimia 100% amemshambulia Haki-Elimu(under 18) na wewe umeruhusu huoni kwamba una double standard??? This will scare other people to send their photos. Na huyu Mzanzibar asilimia 100% mi namshauri arudi Zanzibar akasaidie kutafuta mafuta manake wameambiwa ukweli kwamba mafuta hakuna wao wanabisha!
    Michuzi usiibane comment yangu

    ReplyDelete
  11. hata kama wanachukia mi namuuna mkono hatuwataki kina john zanzibar wanatuharibia siku hizi kuna pombe, umalaya waziwazi wakati tulikuwa na maadili yetu ya kidini. sasa mnakuja na ujambazi wenu uaminifu unapotea zanzibar. wenzatu samahani lakini hamna maadili, wabinafsi na hata ukiokota simu huwezi kutangaza redioni ikarudishwa tofauti na mzanzibari atairejesha tu.

    salmin
    mjimkongwe

    ReplyDelete
  12. Wazenji wengine bwana,
    Hamuwataki weusi wenzenu ila Wa-Italiano mnawapokea mikono miwili. Na hawa washenzi sana kwa kuharibu wanawake na vijana. Wakishatosheka wao wanawakumbuka hadi Mbwa wao. Kwanza Mjue kuwa hata MAPINZUZI yenu Zanzibar, yaliletwa na John Okello (soma wikipedia) kutoka Uganda. Okello akamleta Karume kutoka Tanganyika alikokuwa akiishi na leo hii mnasema "hatuwataki akina John..". Waislam wanasema "Alllah hua Akbar..", kweli Mungu Mkubwa, mtakula laana zake hadi siku moja mje mseme ukweli. Na mwisho wa siku, MAKELELE YA CHURA, John endelea kutesa Zenji na Kuku wa Kineyeji. Mdau Sikonge.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...