Picha ya juu ni Mwenyekiti wa umoja wa wanawake Tanzania ( U W T) Mhe. Anna Abdalla, akifungua kikao cha Baraza kuu la umoja wa wanawake wa C C M kwenye ukumbi wa halimashauri kuu ya taifa mjini dodoma leo. Kulia ni Kaimu katibu mkuu wa U W T Taifa, Ndugu Domina Mgwada, na shoto ni makamu mwenyekiti wa U W T Taifa Ndugu Asha Bakari.Chini ni baadhi ya wajumbe wa kikao cha Baraza kuu la umoja wa wanawake wa C C M. Picha na mdau Jonas Marios


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...