MWANA FA aka BINAMU
ATUA UK BADO YUPO YUPO NA BONGODJS
KWA MAKAMUZI YA

4/10/08 READING FACE CLUB

10/10/08 CLUB AFRIQUE NA

11/10/08 MILTON KEYNES


SHOO NI TATU TU!!


WOTE MNAKARIBISHWA

£10 BEFORE MORE AFTER
FOR MORE INFO CONTACT BONGODJS ENTS
07786065519
OR
INFINITY ENTERTAINMENT
07949099373

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mbona wako nje ya Terminal 5? Hii ina maana BA wameshaanza kutua T5 kutokea Bongo ama jamaa hakurukia DAR?

    ReplyDelete
  2. Haya mwana FA, usiwepo wepo tu hapo Reading, wahamasishe waanzishe na matawi na mashina ya chama cha mnanii.....

    ReplyDelete
  3. ivi awa watoto wanafadhiliwa na nani izi trip za dezo???yan naona km mashindano ivi kuja uropa,,shida izi??na vipicha vya kuwaoneshea wezio bongo hahahaaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...