Waziri mkuu wa Kenya Mh. Raila Odinga (wa pli kulia) akikabidhi mchango wa dola 1000 za marekani kusaidia ukarabati wa kanisa la Anglican la mjini zanzibar kwa Christopher Faraji mfanyakazi wa makumbusho ya kanisa hilo leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Huyu mtu anafuatafuata nini bongo? Au ameona easy kugombea huku?

    ReplyDelete
  2. Naamini kenya kuna wakristo wengi na wengine hawana hata makanisa.

    Pia kuna raia masikini kenya angeweza kuwasaidia akiwa kama kiongozi wa serikali.

    Hii inawezekana ni lile dili la kuondoa doa hili hapa afrika mashariki.

    Sawa sawa na kiongozi fulani mwanaharakati wa afrika aliamua kujenga kanisa nchini misri wakati nchi yake masikini na makanisa na shule havitoshi, ili mradi kuwaondoa wasiowataka kwa mbinu yeyote.

    Hivi na kale ka-mpango ka kulazimisha population ya kikristo zanznibar iongezeke kwa kuhimiza watu wahamie huko bado kanaendelea?

    ReplyDelete
  3. Acha ujinga we anony 7:22 PM, huyo jamaa ana roho safi ni mpiganaji, mkweli na hana kinyongo na siku atakapokuwa raisi wa Kenya na uhakika ushirikiano utaboreka zaidi kiuchumi kwa vile hana masihara na mafisadi na ana mawazo ya leo sio kama mazee ya Afrika

    ReplyDelete
  4. Anony 10:09

    Ulivyoandika hapo juu ni dhahiri wewe ni MZANZIBAR kwa vile nyie watu huwa mna mawazo potofu kama uliyoandika hiyo kampeni ya kuwaamisha wakristo kwenda zanzibar ilifanyika lini ? huna tofauti na wawakilishi wenu huko barazani (bunge) majungu tupu na jazba zimejaa, wataalamu wameawaambia ukweli zanzibar hamna mafuta mnachodhani ni hujma mi nangoja hiyo siku mtakaporuhusiwa iwe nchi kamili? mtachapana bakora ile mbaya! hamna cha kutakuwa hakukaliki huko! Marekani imetoa $750 kwa TZ na ina ressession mbona hujiulizi kutoa ni moyo ingia shule iwe mawazo makini!

    ReplyDelete
  5. Acha kutetea udini wewe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...