mdau kniletea hii akisema jamaa wa obama wakitangulia ikulu ya marekani kumngoja...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hao ni ma-Janjaweed, hukukutana nao ulipokuwa Sudan?

    ReplyDelete
  2. eehhh kumbe hapo juuu ni watu mi nilidhani taka!!
    Yanii gari ya takataka,
    Kazi kweli kweli
    Dada Lao

    ReplyDelete
  3. Hii ni kawaida kabisa katika nchi za MALI, GAMBIA, CHAD, SUDAN, ETHIPIA, SOMALI NCHI ZA MAJANGWA, HATA MOROCCO, WESTERN SAHARA. BURKINA FASO

    ReplyDelete
  4. Tusiwadhalilishe jirani zetu. Mwenyewe ni mmarekani na kabila ni mjaluo!! Mna donge?

    ReplyDelete
  5. HABARI HIYO YA PICHA INA SURA YA UBAGUZI, LAKINI KWA MTU ASIYEELEWA ATAONA NI MZAHA AU UTANI TU!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...