kocha wa yanga enzi hizo victor stancelus akiwapiga tizi yanga kids ambao walipokua wakubwa aliibuka kuwa nyota katika medani za soka nchini. hata sijui bongo ikaja kupatwa na nini kwa kusahau zoezi hili muhimu kiasi cha kuja kuwa kichwa cha mwendawazimu. ukiangalia kwa makini unaweza kutambua sura za akina adolph, pondamali, china, mapango, mkweche nk.

Duuh Michu umechemsha wakati huu China nafikiri bado ananyonya James. Holland
ReplyDeletemdau james wewe ndio umechemsha,naamini michuzi akukusudia athumani china wa manzese,kulikuwa na china mwingine wakati huo,kina sululu,jazari,sharifu nawengine wengi,kitendo cha kufukuzwa nchini tambwe leya na nabi kamara ndio kilichofikisha hapa tulipo leo
ReplyDeletemdau Cardiff.
Hi!! kaka Misupu uménikumbusha mbali huyu kocha alitoka Romania!
ReplyDeleteVictor ! ndiye kwa kiasi kikubwa aliyepanda mbegu ambazo zimezaa matunda kama wachezaji akina Kassim Manara,Juma Pondamali,Aldof Richard!!! wakati hule kulikuwa kweli Yanga Imara
Acha kuchemsha, kasim manara, adolf na pondamali walicheza pani, walikua yanga wakiwa wadogo bado.
ReplyDeletesasa kama kaka michu hakuchemsha weye mdau wa kadifu twambie huyo ni china gani vinginevyo usichanganye khabari bwana!
ReplyDelete