EID INAKARIBIA ! JE NDUGU YANGU MUISLAMU UMESHAFIKIRIA NAMNA YA WEWE NA WATOTO WAKO MTAKAVYOISHEREHEKEA?
Kwa mahesabu, Eid El Fitr itaangukia baina ya Jumanne
30-09-2008 au Jumatano 01-10-2008
Utaratibu wetu Inshaallah utakuwa kama hivi:
SALA YA EID itasaliwa katika ukumbi wetu uliopo 2-6 Britannia Street
KHUTBA YA EID itatolewa kwa Kiswahili baada ya Sala
CHAI YA PAMOJA itafuatia baada ya hapo, baada ya Chai kutafuatia Sherehe za Watoto (Bouncy Castle na Michezo mbali mbali).
Jumamosi tarehe 4-10-2008 kutakuwa na sherehe za KINAMAMA na WATOTO (UROJO EVENING):
Siku hiyo Kutakuwa pia na Bouncy Castle, Face Painting, Henna Painting, Zawadi na Michezo.
SHIME tushirikiane kufanikisha Sherehe zetu ili Kudumisha Ushirikiano wetu na kuwapatia watoto Wetu Fursa ya Kufurahia Eid El Fitr Katika Mazingira ya Upendo
Kwa maelezo: Wasiliana na madrasatun nuur
Au piga Simu 07722 151416 au 07878709468 au 07766407073
AHSANTE SANA KWA USHIRIKIANO WAKO


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...