Afisa Uhusiano wa Tigo Bw Jackson Mmbando (kulia) akikabidhi hundi ya mfano ya shilingi milioni mbili kwa Mratibu mkuu wa kituo cha kulelea watoto waishio katika mazingira magumu Bw. Peter Mosha (kushoto) kwaajili ya kununulia maharage 300kg, mchele 300kg, sukati 200 kg, mafuta 200l ita, chumvi 40 kg pamioja na 400 kilo za unga ikiwa ni msaada wa Tigo kwa kituo cha watoto waishio katika mazingira magumu cha Kiwalani chenye watoto 105 kwa kipindi cha sikukuu za Iddi. anaeshuhudia Katikati ni muweka hazina wa kituo hicho cha kiwalani Bw Christopher Mgaza. Msaada huo unatarajiwa kuwapatia chakula cha mwezi mmoja watoto 105 wa kituo cha watoto yatima cha kiwalani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...