Bwana DC,
naomba nikumbushe tu kwa ufupi baadaya ya kusoma ulichosema leo wakati unatoa shukurani kwa Tanzania Daima baada ya kukufagilia .
Blog ni moja ya tekinolojia zilizo kwenye kundi linaloitwa web 2 technologies mfano wikis, RSS, podcast nk , ambazo sasa hazipo tena kwenye majaribio bali zinatumika rasmi kwa maisha ya kawaida/mawasiliano.
Kwa hiyo kampuni yeyote iliyo-amka au mtu,web 2 ndio kunakucha, asiyeingia ataachwa peke yake .
Kama mdau wa teknohama naomba uweke kwenye rekodi kwamba wewe ni mmoja wa waanzilishi wa web 2 adoption in tanzania ndo maana Zain wamekuona.
Keep it up
-- Adam H Mayingu
-- Adam H Mayingu
Dar es salaam,
Tel +255 22 2120950
Cel +255 754 782648
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...