SATURDAY 25th OCT. PLAYING AFRICAN MUSIC,
EAST & WEST AFRICAN FLAVAS, REGGAE, R N B AND MUCH MORE!!
CLUB INNCOGNITO,
29 PARK PLACE,
CARDIFF,
CF10 3BA.
FROM 8PM TO 2AM.

SWAHILISOUND DJs ALONG SIDE BONGO DJs
ALL WELCOME!
website:
http://www.swahilisound.com/
Unity through music

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Jamani huyo msichana mbona mzuri hivyo?

    ReplyDelete
  2. mbona Dj Muba hatajwi kabisa wakati anasababisha kila siku....ni Dj noma sana basi tu..ebwana cardiff tunaendeleza libeneke

    ReplyDelete
  3. Mtoa maoni wa kwanza kuna usemi unasema usihadaike na rangi,tamu ya chai sukari.uzuri wake zaidi hapo kwa sababu yuko wazi tu na msichana yoyote akijisasambua, lazima utasema tu, na wasichana na wanawake wengi wanalijua hilo ndo maana utakuta wanahangaika kuibana miili yao na kuvaa vijiguo nusu uchi almuradi tu ajaribu kukuonyeshea kidogo, ili uweweseke kama ulivyoweweseka hapa jamvini. Na ndo ukakuta wanawake wenye stara zao hujichunga katika mavazi yao ili wasilete mtafaruk au kujidhalilisha kwa kuwekwa kwenye fungu ambalo hawalipendi .

    ReplyDelete
  4. hahaha tih tih annon 10.27 am kwa kumjibu annon wa juu
    ila jamaniiii hii miili ya kinadada ebu chonde-chonde why mwauwa wana wa wenzenu??
    dada yuko uchi kbs
    ivi nyie mtoao matangazo hamwezi weka picha decent adi izo nyuchi za ------,wekeni tangazo la kawaida tu na watu watakuja tu,,nyamafu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...