Mwanamuziki Alikiba anaendelea kufanya MAAJABU kwenye tour yake ya Marekani. Na baada ya kufanya miujiza huko Baltimore jumamosi iliyopita, Alikiba atakuwa Mjini Kansas City Jumamosi hii kwenye show iliyoandaliwa vilivyo na vijana wa WAZIMU ENT. Wakazi wote wa KC na maeneo ya jirani mnakaribishwa mje kuselebuka na "CINDERELLA" "MAC MUGA" "NAKSHI MREMBO" na vibao vingine murua alivyovitoa jikoni hivi karibuni.
kwa maelezo zaidi fika
ama nenda
ama check flier hapo juu..
Aksanteni
PAF PRODUCTIONS.


KUNA MSIBA DETROIT, HEBU SIMAMISHENI RAHA KWA MUDA TUCHANGIE KUSAFIRISHA MWILI WA MWENZETU KWENDA KUPUMZIKA NYUMBANI...
ReplyDeleteToo much of everything is harmful.
ReplyDelete