mdau moshy kiyungi alikuwa vekesheni tabora na katuletea taswira hii ya watoto wakicheza bao asilia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hii inanihudhunisha sana, kuona watoto wanakosa sehemu nzuri na safi za kuchezea hata bao jamani!
    Hivi rais na viongozi wanaohusika hawazioni picha kama hizi kama walikuwa hawana taarifa ya tatizo hili. Imefika wakati janga la tabora liwe fundisho na changamoto kwa serekali kugeukia upande wa mahitaji ya watoto kama elimu bora, afya bora na vitu kama hivi ni muhimu na si luxury!
    Serikali na mashirika kama N.S.S.F na mengine yashirikiane kujenga sehemu za michezo mbali mbali kama viwanja vya mipira aina tofauti, games, pembea n.k, sioni sababu ya viwanja vya mnazi mmoja kufungwa kwanini visijengwe pembea simple kama za slide na kawaida week end waruhusiwe watoto kwenda kuinjoy!
    Ni ufisadi uliokithiri tu!

    ReplyDelete
  2. Wasijekuwa wanachezea alimasi nyeusi kama vile ndugu zao wa Shinyanga walivokuwa wakifanya

    ReplyDelete
  3. This watoto ni wabunifu, i like the idea. They take lack of sports supports from elders kama challenge sio problems.

    By Belas

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...