diwani wa UK a.k.a Ukonga Mh. Jerry William Slaa akimeremeta na mai waifu wake Anna Ambronce Lugenge mara baada ya kufunga pingu za maisha kanisa la Azania Front wikiendi hiimaharusi wakiwasili hoteli ya kempinski kwenye mnuso mmoja wa nguvu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 39 mpaka sasa

  1. mkeo ni mzuri, mpende basi siku zote, mama mchunge mmeo, hasa dhidi ya ma haose girl maana siku hizi wamepamba moto hao, hata ndumba wanatumia. maisha mema na mkipendana na kuelewana kwa upende wa Mungu, ndoa wala haitakuwa msalaba.

    ReplyDelete
  2. Maharusi mashallah....Mungu awalinde....

    ReplyDelete
  3. Hongera sana Jerry.

    Kukusaidia ktk intro zaidi Mh. Balozi, Jerry alikuwa Waziri wa Michezo DARUSO mwaka 2003/04.

    ReplyDelete
  4. Swali kwa wajuzi wa kiswahili. Kwa nini ndoa iitwe pingu za maisha hali ya kwamba tunajua watu huachana kila kukicha.

    ReplyDelete
  5. biharusi amependeza nice hair style +dress aah not too much of everything, I love it !!

    ReplyDelete
  6. Bomba sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  7. Ukweli sio kumeremeta tu, bali pia mnag'aa. Mmetoka bomba mbaya.

    ReplyDelete
  8. Hongera sana maharusi,mungu awabariki.
    Bwana Harusi UJUMBE:Mambo ya kutafuta 'small houses'hapa eh.Sawa?

    ReplyDelete
  9. Kiburi si maungwana.Jitahidini kuridhiana. neno hewala bwana hewala bibi lisitoke maishani mwenu. zaidi tafuta furaha ya mwenzako jua lisikuchwe hamjapatana, usipomchekea kutwa mtaani kuna tabasamu za mamba kibao.

    Mmependeza sana na mmelingana kwa uzuri, mapambo na bashasha ziendelee maishani mwenu mmmmh! waima mmependeza.

    ReplyDelete
  10. Mambo michuzi please nisaidie no. ya simu ya John Majebele mpiga picha please nitashukuru sana


    Rafiki yako Hellen

    ReplyDelete
  11. Naungana na wenzangu, bi harusi mzuri na amependeza sana. Nitashangaa nikisikia bwana huyu ana nyumba ndogo, tena wewe bwana harusi nikikubamba kona na kidosho ntakushika bega nikwambie "niliwaona ktk picha ndani ya Michuzi blog na mkeo ni bombaaaaaa, sasa hapa unafanya nini", shauriyako.

    ReplyDelete
  12. Hongereni sana,mmpendeza sana. Mungu awajalie ndoa yeni idumu milele. Mbarikiwe sana

    ReplyDelete
  13. Usifikirie hata siku moja kumsaliti mkeo manake SHE IS HEAVEN SENT kama Keyshia Cole alivyosema.

    ReplyDelete
  14. Hongera sana maharusi, Ngeleshi vipi wewe upo mbona kimya, Kazi njema naona mzee umetoka fresh na M&Spencer yako, hahahaha. Poa

    ReplyDelete
  15. Mbona wengi mmeshikia bango bwana harusi tu ndio asiharibu!? Kuna wanawake wengi tu vicheche na wanasaliti ndoa zao kwa tabia zao chafu. Hivyo bibi harusi na wewe unatakiwa ujiheshimu na kumheshimu mumeo ili ndoa idumu vema.

    ReplyDelete
  16. Yaani wamependeza mpaka nimesikia ka wivu!kah!Anyways..May they be blessed with cute children and a happy marriage.

    ReplyDelete
  17. MICHUZI NI MIMI PETER NALITOLELA TENA NIME RUDI TOKA UWANJA WA FISI. SASA HAWA JAMAA WAMEOANA KWANI HUYU BROTHER ANAPENDA MA HOUSE GIRL? MBONA KUNA WATU WANA MFUNDISHA KUMPENDA MKE WAKE AND WANASISITIZA AJIHADHALI NA MA HOUSE GIRL? MIMI SIONI KAMA MTU UMEAMUA KUOA HALAFU KESHO MIMI HUYO HUYO NAMPENDA HOUSE GIRL! HALAFU WEWE MICHUZI BASI TU NAM MIND SANA YULE HOUSE GIRL WENU MIPAJA NA KIKALIO KIKUBWA BASI TU NGOJA NIPATE KAZI CITI BANK MIMI NITAKUTAFUTA.MIMI NAKU MIND SANA MICHUZI LILE HOUSE GIRL LENU BOMBA SANA NA ENJOY KULIANGALIA LIKIKATISHA SEBURENI TU. HAYA BWANA MAHARUSI NYIE KUTESA KWA ZAMU LEO NYIE MIE KESHO AU SIVYO WADAU WEZANGU?

    ReplyDelete
  18. Naungana na mwenzangu wa kwanza kutoa comment.... Bi HARUSI chunga sana sana na hao ma housegirl, kweli ni balaa siku hizi...yupo radhi akusafirie nyota.

    Nasema hv kwani yamenikuta....na dawa nikazikuta kwenye begi lake na barua kutoka kwa mama yake housegirl kumpa maelekezo ya dawa na jina langu likiwepo katka barua hiyo,

    Sina haja ya kuendelea ni story ndefu zaidi ya kitabu cha Shigongo.

    Bi, harusi uwe mfuatiliaji simba mla nyama huwa mpole au mkali huwezi kujua.

    ReplyDelete
  19. Maharusi mmependesa sana. Nawatakia maisha mema katika ndoa yenu. Mungu awabariki mumpate 'junior' mapema ili azidishe furaha katika ndoa yenu.

    NDUGU WADAU HUYU PETER NALITOLELA NAOMBA TUMPUUZE WALA TUSIWE TUNAMJIBU CHOCHOTE KATIKA MAONI YAKE INAONYESHA ANATABIA YA KUGEUZA MADA WATU WAACHE KUCHANGIA YALE YA MSINGI NA KUMGEUKUA YEYE. SIKU ZOTE HAKUNA CHOCHOTE CHA MAANA ANACHOCHANGIA ZAIDI YA KWENDA KINYUME NA MADA. ALAFU ANAMDOMO MBAYA SANA HUYU KWANI ALIANZA KUMWITA NDALIMA NZARO (R.I.P) MAREHEMU WAKATI SIKU ZAKE ZILIKUWA BADO HAZIJAFIKA. CHA MSINGI NI KUTOMJIBU CHOCHOTE MPAKA ATAKAPOJIONA MJINGA NA KUAMUA KURUDI MIREMBA ALIPOTOROKA. SIJUI NANI AMENDANGANYA KUWA CITI BANK WANAAJIRI VICHAA. ALAFU KAKA MICHUZI NAOMBA USIWE UNARUSHA MAONI YA HUYU MTU KWANI HUWA YANATUKERA.

    ReplyDelete
  20. HONGERA JERRY PAMOJA NA MKEO MUNGU AWABARIKI.

    BABA MDOGO
    MUDDY
    GEITA

    ReplyDelete
  21. Bibi harusi mzuri jamaniiii

    ReplyDelete
  22. JERRY & ANNE - kwanza mmependeza, alafu wote wazuri, mmechaguana na mnaendana sana! Kwanza Congratulation for your Archievements,its not all who take the first step get their destination. So big hugs to you Both, Godbless you always. I hope kila mmoja kitabia ni nzuri km sura yake. Napenda kuwaambia unapoamua kulivalia suala njuga km unaoa au kuolewa uwe namaana hiyo siyo unajaribu au kubeep km wanavyosema watoto wa mjini wanavyosema, pili kila mtu anaimani yake hivyo basi mumtangulize Mungu kwakila jambo mumtegemee Mungu kuanzia kula, kulala, kazi zenu, maisha yenu yote na mipangilio yenu kwani hata kwenye tendo la ndoa ni Mungu kumuweka mbele hii cyo propaganda au siasa ni kweli Mungu anatenda. Kila lakheri ktk maisha yenu mpendane. MRS YOLANDY

    ReplyDelete
  23. JERRY & ANNE - kwanza mmependeza, alafu wote wazuri, mmechaguana na mnaendana sana! Kwanza Congratulation for your Archievements,its not all who take the first step get their destination. So big hugs to you Both, Godbless you always. I hope kila mmoja kitabia ni nzuri km sura yake. Napenda kuwaambia unapoamua kulivalia suala njuga km unaoa au kuolewa uwe namaana hiyo siyo unajaribu au kubeep km wanavyosema watoto wa mjini wanavyosema, pili kila mtu anaimani yake hivyo basi mumtangulize Mungu kwakila jambo mumtegemee Mungu kuanzia kula, kulala, kazi zenu, maisha yenu yote na mipangilio yenu kwani hata kwenye tendo la ndoa ni Mungu kumuweka mbele hii cyo propaganda au siasa ni kweli Mungu anatenda. Kila lakheri ktk maisha yenu mpendane. MRS YOLANDY

    ReplyDelete
  24. Hey Jr hongera sana, yaani mmependeza sana. I am happy of u guys. Kila la kheri. Its me D.S.M and my Family!

    ReplyDelete
  25. Mdau unayehitaji infomesheni za maandalizi na huduma za harusi basi nenda www.harusiyangu.com

    ReplyDelete
  26. Maharusi mmependeza sana hongereni, napenda mkumbuke kuwa kuna usemi wa waswahili wanasema APENDWAE HUJIPENDEKEZA. kila mmoja wenu atafute haja ya mwenzake hivyo neno hilo mlifanyie kazi katika ndoa yenu kila mmoja ajipendekeze kwa mwenzi wake ili mahaba yaimarike na ymuendelee kupendana vema.

    ReplyDelete
  27. ON BEHALF OF NALITOLELA.....!
    humu nimekuta comenti 12 lakini nimegundua ni mmoja tu ndiyo analalamika comenti za wengine zinamkera. kama ni kweli zimekukera acha kuzisoma ukiona inatoka kwa Nalitolela iluke,sasa kama huyu ni kichaa na anahitaji kwenda mirembe na wewe unakurupuka kufungua michuzi blog huku mbiyo mbiyo kuangalia leo Nalitolela katuwekea nini na kisha ukimaliza kusoma zinakukera basi wewe ni JUHA nambari one wewe hasa ndiyo ulitakiwa kwenda MIREMBE siyo MIREMBA.On behalf of Nalitolela!

    ReplyDelete
  28. Anon wa 22 oct, 12:49 Ndugu yangu huyo mtoa maoni wa 20 sio wa 12, hiyo ni pilipili yake tena iko shamba we yakuwashiani?

    ReplyDelete
  29. Kwa kuwa hatuwezi kumnyima uhuru wa kuongea, kwa kuwa ni haki yake
    Nalitolela anaonekana anataka kuanzisha mjadala lakini sehemu ya kuingizia ndio anakosea.Kwa kifupi hana point. Kumpenda house girl wa balozi na kuropoka waziwazi, napata picha Tatu tofauti:
    1. Anatania-na hayuko serious, kwani kama kweli anampenda binti huyu kuna taratibu za kumchumbia zinazokubalika ktk jamii. Hii sio lazima afanye kazi Citi Bank!
    2. Nalitolela na matatizo ya ngono, naweza kusema ana pepo la ngono.
    3. Mzaha wake kwa Mh. balozi sasa naona umezidi mno, inakuwa dharua, kwa balozi wetu. Naomba comment zenu wadau

    ReplyDelete
  30. Wamependeza, hongereni sana Mungu awabariki mkaishi kwa amani na upendo siku zote za maisha yenu.

    Samahani wadau, naomba kuuliza, huyo bwana harusi ana undugu na Wilbrod Slaa wa CHADEMA???

    ReplyDelete
  31. Harusi ilifana sana na of coz wamependeza sana na ni watu wazuri especially huyu dada.

    Uliyesema mtoa maoni si wa 12 bali ni wa 20...Unaangalia sana details ambazo hazina msingi.

    ReplyDelete
  32. 1).Ni Kweli kabisa ulivyoambiwa wewe Anon wa 12:49 pilipili iko shamba we mdomo unakuwasha.

    2). Kwa uchunguzi na ufahamu wangu nimekusoma wewe ni yuleyule Nalitolela ndo maana imekuuma, pia kutokana na lafudhi ya herufi zako hapa, penye R unaweka L na penye L unaweka R, eti "iluke" ndo kitu gani hicho? au umezoea kula makonokono ndo maana unaburura mdomo?, wenzio hula makoa (shellfish) ya pwani sio ya nchi kavu, athari zake ndo hizo, unapata kitetemeshi cha mdomo kuongea hadithi zisizo na kichwa wala mguu inakuwa hueleweki, Pia hadhithi zinazotia kinyaa. Acha kuchanganya utani wa kijinga kwa mkuu w.w ya tegeta mara moja.
    3). Huoni soni kuvuruga maongezi ya watu hapa janvini kuweka mijineno yako ya nuksi mbele ya maharusi na watoto mantashau wanameremeta kama mwezi hapo juu jifunze basii kama walivyofanya kutoa pongezi penye mafanikiooo .

    ReplyDelete
  33. HONGERA SANA BWANA HARUSI. MIMI NIMEOA. NAKUSHAURI UMPENDE SANA MKEO, HAKUNA MWANAMKE ATAKAYEKUPA RAHA NA KUWA AMANI ZAIDI YA MKEO. EPUKA SAUTI ZA IBILISI.UTAFURAHI SIKU ZOTE. MKEO NI MZURI SANA HONGERA

    ReplyDelete
  34. Anon 10:53am..... Ndio, Jerry ni mtoto wa kwanza wa Dr W Slaa wa CHADEMA.

    ReplyDelete
  35. Jamani huyu Nalitolela naona anawaumiza vichwa nadhani hamjajua anachokitafuta hapa , Nalitolela anatafuta jina mwenzenu sasa hajaangalia sehemu yakutafutia jina ndio hapo tunaweza sema kaingia choo chakike akamkuta mkwewe.Mchukulieni kama bwege mtozeni.

    ReplyDelete
  36. Hongera sana!Anna umezidi kuwa mrembo ila ile baby face ya Bunge Primary bado iko!Nawatakia mafanikio mema katika maisha ya ndoa.Karibu kwenye maisha yakuolewa.

    ReplyDelete
  37. MI NIMEMPENDA UYU BIBI HALUSI. BAHATI MBAYA KASHAOLEWA

    ReplyDelete
  38. Hongera sana cousin Jerry with your beautiful wife.
    May God Bless you always in every aspect of life.

    KUREKEBISHA HAPA; JERRY NI JERRY WILLIAM SILAA NA HANA UNDUGU WALA UKABILA WA KARIBU NA DR SLAA....HIS SIR NAME IS SILAA.
    Ni mtoto wa nne wa Captain William Silaa na shangazi yangu Marehemu Esther Silaa.

    Huyo anonymouos wa 6:56PM sijui amepata wapi hizo details.

    Cousin Joyce - Toronto.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...