mpiga gitaa na kiongozi wa vibration sound dakika hii tunayoongea anafanya mambo si ya kawaida hapa msasani beach club ambako kuna bonanza la tamasha la vyombo vya habari kwa kiinglishi media day 2008
elyson angai akikonga nyoyo za waandishi msasani beach hivi sasa


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Michuzi, Asante sana kwa kutueleza kinachoendelea hapa, na hasa sisi wana habari ambao tupo ofisini kwa sasa tukiandaa magazeti ya kesho. hebu tueleze nini hasa kinaendelea hapo? Picha ya majura nzuri. Hebu tupe picha ya vigogo wengine wana habari waliopo hapo. Najua makanjanja ni kibao. Hatuwataki hao. vipi kina Theo Mushi, Rioba etc? unywaji ukoje hapo? Tupe habari Mkuu!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Kaka Michuzi hizo picha zimetulia si mchezo..yaani ukisikia timing ya picha ndio hiyo...Bongo kweli tambarare...raha kwenda mbele.

    ReplyDelete
  3. Mimi namkubali elyson angai kuwa pengine ni namba wani afrika kwa kucharaza solo kwa watu wanaojua muziki watakuambia hivyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...