umati wa waliohudhuria tamasha la fiesta 2008 uwanja wa mkwakwani tanga jumamosi ilopita
dj fetty (shoto) na mama lao VIP gea habibu (kulia) wa clouds 88.4fm wakitangaza live libeneke la fiesta 2008 katika uwanja wa mkwakwani tanga jumamosi ilopita. kwa bahari na picha zaidi nenda

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hee, Jamani, Kumbe Geha Habib ndo Lijimama hivyo? Mi nilikuwa najua ni Li-jidada flani hivi. Makubwa !!!

    ReplyDelete
  2. Tanga, waja leo waondoka leo

    ReplyDelete
  3. Kwa nyumbani hapo bonge la ujaiko.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 22, 2009

    Geha ckujua kama ni mtu mzima wa haja kiasi hiki,nakuomba tu upunguze mashauzi ya Redioni maana huendani na jinsi ulivo mama,makelele ya ajabu ajabu muachie Dinna malios tu,wewe mda usha kupita mtuwangu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...