mdau hassan mhelela wa BBC yupo newala kukava kampeni na baadaye uchaguzi wa marekani. akiwa huko alikutana na gari hili linalotangaza mambo ya bongo mitaa ya new york. alifurahi sana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. ile kusikia bugando tu napata HAM ya sato. wanafunzi chuo bugandoo wana ka restaurant kanakaangaga samaki kinoma

    kabila-oxford

    ReplyDelete
  2. newala???sijaelewa apo ni newala au cjakuelewa vizuri,,,yessss bugando samaki wa kufa mtu fresh no ither place in the world

    ReplyDelete
  3. Newala ni NEW YORK mzee...karibu kijijini hapa

    ReplyDelete
  4. touchfoundation.org shughuli ilishapita lakini tembelea website yao kwa habari zaidi.wanafanya mambo makubwa nyumbani!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...