john kitime akitua kitongoji cha soweto
akiendeleza libeneke na bendi ya soweto
alivutiwa sana na hiki choo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Mzee kitime, inaonekana upo kwa Mzee Madiba.
    Du Kuna watoto wazuri!

    ReplyDelete
  2. misupu nishtue kitime anapiga shoo wapi akitoka hapo soweto wadau tunamsubiri joburg!
    jamal-jorburg

    ReplyDelete
  3. Mheshimiwa Balozi, John Kitime ndio nani tena?

    Mheshimiwa Balozi boresha boresha kidogo naona hii sekta ya "introductions" umeisahau sana.

    //Mdau

    ReplyDelete
  4. Habari zenu jamani?Michuzi na wengine naomba mnisaidie ntapataje album mpya ya njenje?me niko huku USA plz help me

    ReplyDelete
  5. Wadau hapa ni Soweto Mbeya.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...