mkurugenzi wa duka la virago mishi marshall akionesha aina ya nywele kutoka italy (brazillian)zinazopatikana duka la virago lililopo sehemu za namanga, dar, karibu na mgahawa wa best bite. kwa habari zaidi ya duka hili lenye bidhaa za nguo na viatu kwa wanaume, kinamama na watoto toka italy, france, UK na marekani watembelee katika globu yao ya http://viragoshop.blogspot.com/


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 23 mpaka sasa

  1. Huyu dada ni mfano wa kuigwa. Kwakweli nilikua namuona tangu anafanya kazi Mariedo boutique ya IPS building na baadae Mary Rose Cosmetics mpaka sasa ana duka lake mwenyewe na anafanya vyema kwani ni duka la pekee lenye vitu vinavyoenda na wakati.
    nakutakia mafanikio zaidi dada Mishi.
    Binti JY.

    ReplyDelete
  2. brother michuzi sikusudii ubaya ila nimecheka sana kwenye sentensi yako ya mwanzo pale uliposema "nywele kutoka italy (brazilian)" kicheko changu hakikuja kwa sababu italy na brazil ni nchi mbili tafauti ila ni kwa neno "brazilian" kuhusishwa na nywele. Naamini brother michuzi na wadau wote mnajua kuwa kuna style akina dada hukata nywele zao za kule nanhii kwa style inayoitwa "brazilian" sasa hapo mimi ndio nikaangusha kicheko. duu yaani nywele hizo zimepatikana kwa baada ya watu kuzikata zao za sehemu za siri halafu akina dada mnanunua na kuweka kichwani? na hao walio shave walikuwaje kabla ya hapo? ahh imenifanya nicheke kidogo mpaka wafanya kazi wenzangu hapa ofisini wameshangaa!

    ReplyDelete
  3. Mhm haya ebu tusubiri waoshe vinywa warudi toka maboksini...

    ReplyDelete
  4. brazilian!!? gonga hapa
    http://en.wikipedia.org/wiki/Bikini_waxing

    ReplyDelete
  5. Brazilian waxing refers to a removal of almost everything, front to back except for a thin strip of hair on the pubis. An extreme form of bikini waxing, it involves complete removal of hair from the buttocks and adjacent to the anus, perineum and vulva (labia majora and mons pubis).[10][11] Waxes that remove pubic hair are known as a full Brazilian wax, full Bikini wax, Hollywood wax or the Sphinx.[1][6][7]

    ReplyDelete
  6. Nawaona wadada wanapendeza mitaani kumbe wanavaa nywele za wenzao kutoka brazil.

    Brazilian style namna yakukata kushevu sehemu za... hii style inapendwa sana na watu wengi, hata wa ulaya

    ReplyDelete
  7. Michuzi Plz maoni yana haki si kwa ubaya wala si kwakumwaribia huyu dada bishara mwenyezimungu amzidishie zaidi ya hayo huyo dada na bishara yake nzuri, ila mie maoni yangu kwamba natowa tu ushauri watu watasoma wataona sawa watachukuwa watakaoona si sawa watawacha na kuendelea.

    1 kama jama wa juu alivyoeleza kuhusu brazilian ni kama neno WAX neno WAx limetokea brazil kama kunyoa sehemu za siri nywele ndio watu wana shave kwenye mwili mzima wanaita WAX hii nje ya topic sasa topic kuhusu hizi nywele naenda.

    Nywele za bandia zengine ni za kweli zengine ni za maiti waliokufa hatujui zengine India wananyoa nywele kwa ku shave kichwa kizima kama mila zao wakianza kuotesha nywele inakuwa kitu kibaya hakiwapati yani Imani zao, Nywele za bandia zinauzwa sana ma USA mpaka UK na Africa mie najiuliza je kweli haki kuvaa nywele za maiti japo kama hujui mie naona hizi nywele za bandia si nzuri kwa binadamu zengine kule India nishaona kwa macho yangu wanaziokota jalalani wanauza kwenye makampuni fanyeni uchunguzi mtaona au mnaonaje WAdau? najuwa ni 21 century mnasema ila kwa nywele basi za maiti pia? plz michuzi wacha watuwasome comment tuwe na uhuru wa maoni ya ushauri mzuri. nasikia ma kampuni kutoka USA,UK,Italia wananunuwa kwa pesa nyingi sana kutoka India jamaa india milionea kwa kuuza walionesha documentary. kina POsh Spice wanavaa japo yeye alikataa alipoulizwa kama ni za binadamu akakataa kata.

    ReplyDelete
  8. Pengien mimi mshanmba, mtu wa kale au vyote, lakini kwa uhakika nywele za bandia hazinipendezi hata chembe. Ni nini lengo la kumwangalia mtu "anapendeza" (?) hali ya kwamba unajua kuwa kaweka nywele za bandia? Nilikuwa nikiona mama zetu, dada zetu na wanawake wote wakisukana nywele kwa mitindo ya kupendeza - na wakipendeza. Leo kuingia "urembo" toka majuu tumeona yote yetu yamepitwa na wakati. Ningeweza kupiga kampeni ningepitisha dhidi ya woote wanaofikiri wanapendeza wakiwa na hizo nywele za kokote zitokako. Kisha unajua, wengi wazivaao huonekana kama masanamu na kwa bahati mbaya vioo humwongopea kila mtu anayejitazama.

    ReplyDelete
  9. Pamoja na kwamba nywele za bandia huwa zinanitia kichefuchefu na mambo mengine tunayoita kwenda na wakati ni nusu ya uwenda wazimu, tukumbuke kuwa matumizi ya lugha hutofautiona na mazingira. Neno hilo hilo 'brazilian' kwa bongoland linaweza kuwa linatumika kwa maana tofauti na sehemu nyingine. tunapokopa maneno wakati mwingine huchukua maana tofauti na huko yalipotokea. kwa hiyo akina dada wapenzi wa nywele bandia endelea kutwanga tu brazilian alimradi kila mmoja katika biashara hiyo anajua ni nini kinachomaanishwa.

    ReplyDelete
  10. Balozi wa Jamii,
    Mie nimechoka kuona wadada artificial hapa ulaya na nilikuwa na mpango wa kuja nyumbani nichukue jumla jumla mdaa original ktk kila kitu.

    Sasa baada ya kuona sasa hata dada zetu nyumbani wanaanza kuwa artificial ktk kila sehemu kuanzia kope, nywele, rangi ya mwili, heavy make-up,nguo za 'ajabu ajabu' na zinapatikana kwa sana ktk ma-boutique kama ktk picha, sasa wajemeni nimechanganyikiwa.

    Hivi Balozi na wadau wa jamii naweza kupata dada kitu 'original' hapo nyumbani au nivunje hii safari niliyokuwa naiota sana.

    Mdau
    Jijini London.

    ReplyDelete
  11. We al-Musoma taratibu!! kama wewe unaona wadada wakivaa nywele za bandia hawapendezi ni wewe peke yako, usijumuishe na wenzio ebo!!! Wadada wanapendeza sana na hizo nywele wala sioni ubaya woyote hapo. Kama wewe hupendezewi basi waache watumie wanazipenda.

    ReplyDelete
  12. TATIZO LA DADA UYU BEI BWANA HAH?ANAHISI WATANZANIA WOTE MATAJIRI HE

    ReplyDelete
  13. OK GUYZ SUBIRI NI WA FAFANULIE KUHUSU HILI JINA LA "BRAZILIAN" KAKA "MITHUPU" HAJAFAFANUA VIZURI AU LABDA KAPEWA INFO NUSUNUSU.
    BRAZILLIAN WEAVE NI AINA YA NYWELE AMBAYO NI AGHALI SANA NI HIGH QUALITY AMBAZO HAZIPATIKANI MADUKA YA REJA REJA NA ZINAUZWA KWA KUPIMWA.WANAMUZIKI, MASTAA & ETC NDIO NYWELE WANAOZITUMIA NA BEI YAKE NI....go figure!! ZIKIFUATIWA NA "REMMY HAIR" INDIAN HAIR, LUXURIOUS HAIR ETC BUT HIZI ZINAPATIKANA MADUKANI. SWALI LANGU NI HILI KWA DADA MISHI UNAWATEJA KWELI MAANA I KNOW KWA MTU KUSUKIA KICHWA KIZIMA LAZIMA ZIMTOKE $300-350=LAKI TATU NA/NNE.
    I'M PROUD OF U SISTA BT UCJE UKAMALIZA MTAJI.
    PEACE OUT

    ReplyDelete
  14. "MISHI MARSHALL" BRAZZILIAN WEAVE NDANI YA VIRAGO!!!!Dadaangu ur realy hustler ur ma idol 4 real..
    c u soon.....

    ReplyDelete
  15. Wanawake mpendeze sikatai lakini nywele za bandia za nini? work on what you have. Halafu zinawafanya mnaonekana artificial mno. Wanaume mnaona hilo au?

    ReplyDelete
  16. Dada una uhakika na market research yako lakini?

    naona siku hizi maduu wanafagilia kukata zaidi... uchumi umedorora na majukumu yamekuwa mengi - shule, watoto, kodi, kazi za kufa mtu za private sector, etc.

    Kila la kheri lakini. Huwezi jua bwana.

    //Mdau

    ReplyDelete
  17. BRAZILIAN HAIR HAIMANISHI NI NYWELE ZA KIBRAZILL,NI JINA TUU WAMETUMIA KWAKUWA WABRAZILL WANASIFA ZA NYWERE,NI KAMA KUSEMA INDIAN HAIR, HAIMANISHI NI NYWERE ZA WAHINDI,PIA SIO ZOTE NI NYWELE ZA BINADAMU WANACHANGANYA NA MKIA WA FARASI,ZINAKUWA MIXIED.MMESHAWAI KUONA WAPI MAVUZI MAREFU HIVO? "ITS CALED COMMON SENCE "

    MISHI!!!! DO YOUR THING BABY.WATOE USHAMBA

    BABY BABY BABY BABYYYYY,
    SINZA KWA BOBS ,FRANKY.SAUMU HAJAMBOOOO!

    ReplyDelete
  18. He hehehehehe mithupu leo umenichekesha sana , hii sentensi yako ya NYWELE KIBAO DUKA LA VIRAGO, toka lini nywele zikauzwa ulitakiwa kusema nywele za BANDIA kibao duka la virago, by the way ile mikeka ya mianzi si ndo virago au?

    ReplyDelete
  19. That is not common sense men! eti umeona wapi mavizi marefu kiasi hicho!! nakushangaaa sana, nikuulize swali unaijuwa pamba, kwa Tanzania hulimwa sana Mwanza, je umeshawahi kuona wapi pamba ndefu kama nyuzi za pamba, au umeshawahi kuona wapi pamba kubwa kama shati laki la pamba, hivyo vyote vimetokana na pamba ile ile unayoijuwa kwa udogo wake lakini unaweza kupata uzi mamillioni ya ya kilometers, na ujuzi huo huo mavuzi yanaweza kuunganishwa na kuwa marefu kama unavyoziona hizo nywele, and this is that so called common sense, is not it men? towaga argument iliyoenda shule, siyo kuruka ruka tu.

    ReplyDelete
  20. Dada Mishi ana uzoefu wa kutosha katika masuala ya urembo wa kina mama, kuanzia nywele adi nguo.

    Yeye mwenyewe msusi mzuri na alikua akisuka watu.
    Hivyo basi nina uhakika kabisa kesha fanya market research yake na ndio maana kaamua kuweka product kama hiyo ndani ya duka lake.
    Usiongee kwa niaba ya watu wengine kila mtu anajua uwezo wake kimaisha uko vipi.
    Kama upo nchini fanya siku utembelee VIRAGO na kujionea mwenyewe jinsi watu wanavyospend pesa bila kipimo ili mradi kitu amekipenda.
    Kitu chochote kizuri kina gharama yake.

    ReplyDelete
  21. mtowa maoni wa saba toka juu, naomba unelimishe maiti walokufa wako kivipi? sikuwa najuwa kama maiti nayo pia hufa!!!! :)

    ReplyDelete
  22. aliyeuliza kuhusu maiti aliyekufa hahaha. jamaa kakosea tu sentesi ila nafikiri utakuwa umemuelewa kamaanisha tayari maiti ni watu teyari wameshakufa ila nywele zao wanazinyoa kule india wakiwa washakufa ndio wananyoa kwenye hali ambayo hao binadamu tayari ni maiti. ndio wanavyofanya India hata mie najuwa hilo then wanaziuza kwenye makampuni makubwa kusambaza kwa bei rahisi then zile kampuni wanauza bei kubwa.

    ReplyDelete
  23. Balozi,unasoma comments zote au una-append tu.Manake lugha nyingine humu siyo za kistaarabu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...