Home
Unlabelled
ras tom nyigullah
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kumradhi michuzi japo niko nje ya mada; ni kwa nini wanawake wa kizungu wanawapenda sana rastamen au pengine kwa nini rastamen wanapenda wanawake wa kizungu?
ReplyDeleteJamani huyu Tom anakaa au alikuwa anakaa Seaview, Upanga. Hongera sana.
ReplyDeleteJibu kwa Anon hapo juu juu : Wanawake wa kizungu wanapenda marasta kiasi kwamba vijana kibao wa Bagamoyo wanafuga rasta ili kupata wazungu wanaokwenda kusona pale chuo cha Sanaa. Wanadai Rasta dili..Mmh.
Samahani kaka michu! jina la pili limekosewa
ReplyDeleteNHIGULA
Mdau FK
Lol uncle Tom!, Michuzi ni Nhigula mzee, siyo jina uliyoweka hapo juu.
ReplyDeleteMdau toka Helsinki
Tom Nhigula! kijana alikuwa mpapasa
ReplyDeleteKinanda mzuri wa Roots and Culture band ya jah Kimbute!!!kazi yake inakubalika
nami, kunradhi kwa kwenda nje ya mada: swala la Rasta na wanawake wa kizungu haliishi hapo liko sawia na uhusiano wa wanawake wa kibongo wanosuka dreads na wanaume wa kizungu. Nilipouliza, nimetonywa kwamba ni suala la identification kwa makusudi. Vijana wanaume au wanawake waliosokota nywele 'wanakonyeza' au 'kupiga mayowe' kwamba wako 'available' kwa wazungu. Ndo kusema, uwe mwangalifu na mtindo wako wa nywele kwenye kadamnasi, hasa fukweni mwa bahari. Labda ka umekusudia hayo... UZENGERE
ReplyDeletehalafu tom sio jah! anapenda tu kufuga rasta hivyo kumwita ras tom mmmh!! haikuji, but the guy is a piece work man kwenye keyboard nashangaa hata kwenye kili awards hawi nominated watuwekea wapiga brass za keyboard wa twanga pepeta ana wengineo,jamaa yuko fiti kwenye jazz,blues ndo usiseme duh!!
ReplyDeleteTom is a classic piece!
ReplyDeleteKazi anaijua sana ......nakubaliana na mdau hapo juu ...kwanini hayupo kwenye kili awards......
Labda watamwona sasa ....maana yeye hapendi kujitangaza kama bendi zingine