Kwanza nampa pole mtoto Samwel. Pili namshukuru mola kuwa ameweza hatimaye kufanyiwa upasuaji na umeenda salama. Namuombea kidonda cha upasuaji kipone haraka na azidi kupata nafuu. Halafu tena nimepokea picha toka kwa rafiki yangu aliyekuwepo katika harusi ya Benedict (Dito) Busunze na dada Agnes. Dito nilisoma naye O' level Mbagala na A' level Mzumbe, ingawa alikuwa darasa 1 mbele. Sasa hii imenifurahisha maana Mzee wa Libeneke la Taswira umenyakwa ukiwa kazini!

Dito kaoa,uuh! Kweli ujana una mwisho wake!!!
ReplyDeleteSorry, that should be Busunzu not Busunze.. vidole vilichapia badala ya kuchapa!
ReplyDelete