
Matukio hayo ya kufikishwa mahakamani baadhi ya waheshimiwa na watumshi wa umma,wafanyibiashara wakubwa ndiko kunawafanya walio wengi kubaki mdomo wazi! na kujiuliza tumefikaje hapa? na tunaenda wapi?
Tukijalibu kutafuna kichwa na kusugua mawazo ya kupata jibu nilijaribu kuwatupia jicho na sikia wanamziki wetu katika baadhi ya nyimbo zao na kujiuliza hivi kweli haya wanayoimba yapo? au ndio kama wasemavyo waswahili kama hayapo! basi yanakuja!
Katika wimbo wao "RUSHWA NI ADUI WA HAKI" ulipo katika santuri "Anti-Corruption squard" Bendi ya The Ngoma Africa yenye makao yake ughaibuni Ujerumani,
www.myspace.com/thengomaafrica
wimbo huo unatia simanzi na uchungu,kwa maneno yaliopo ndani ya wimbo huo ambayo nawezakusema maneno ya mistari ya tungo hizo kuwa ni darubini hiliyokuwa inaonyesha mfumo na mwenendo wa mlolongo wa rushwa,labda wimbo huo ulikuwa wito?
pengine onyo na taadhari,pengine wimbo huo uliwakilisha kilio cha wengi! hatimaye naweza kuhuita au kuhutaja wimbo huo ni sawa na utabiri,labda ni al-albadir yaani kumshitakia mungu kama mtu kaibiwa na hamjui mwizi wake tujaribu kusikiliza wimbo huo hapa
Listening to that song, feels like being in post rehabilitation process, it makes me feel good!
ReplyDeleteI recommend to anyone to listen to the song, our cries are now start to be listened to after long time of deafness by the authorities which was almost incapacitated since Mkapa Era(Yes the CHOSEN ONE BY OUR OWN JK NYERERE),
Finally someone is pulling the strings tight, but the work is still on going, Kikwete DONT dare expanding the parliament to 300+, you have enough on plate! We don't need it anyway. GET RID OF RUSHWA, and LAME LEADERS from DISTRICT to REGIONAL, and yes to the top level, make it defining your presidency, get rid of them all and start recruiting on MERITS, YES thats the idea. The current Regional Commisioners and MPs are not helping out their constituents, thats their job, so why expanding, and yes why having them at the first place if that is what is defining their objectivity of their presence at the first place.
Surprising enough, I live in a country where I meet my local MP and a member of a cabinet as well, doing walking every single day. He is accessible to each and every single constituents of my area, just lift up a phone and make appointment and wont be over a week before he sees you, why not these majority of our MPS in bunge. They are untouchable zooming on their gas gazzling cars, and feel privileged, arrogant, inaccessible, here I come sort mentality, check me out, only wonder how much in their bank account, only wonder their next pay check, etc. sort them out first, before proposing any measure of increasing a dime single one, get rid of some of them. The saved money can be put in useful means!
Surprising enough, Africa in general is only continent where politics is actually a BUSINESS, yes you want to be rich, start seeking a political position.
By Mchangiaji
hahahahaha,dah michuzi nilijua tu ungeibania ile comment yng kuhusu hawa jamaa mziki wao bomu bado,naomba hii usiibane kaka twende na demokrasia jamani hawa jamaa wazugaji sio wanamuziki kabisa nikisikiliza nyimbo zao nabaki nacheka tu jinsi mnavyowapa promo,wadau ebu wasikilizeni kisha leteni ripoti sema naamini zitabaniwa tu
ReplyDeleteHuyo jamaa aliyeutunga huu wimbo nadhani ras makunja,kwa kweli naona kajitahidi kuyachambua matatizo yaliokomaa kwa kina na mapana ,wimbo huu mzuri tena chachu
ReplyDeletekwa jamii ya wabongo walimwagiwa mchanga wa macho
hawa vichaa wa ngoma africa kama hawana hakili nzuri?mijiwe juu ya mawe!
ReplyDeleteras makunja na kikosi chake yaani!
ReplyDeletemadongo na mawe mpaka kieleweke!
haya siye yetu macho tunajua ngoma africa penye kukaangwa mbuyu na kuwachia wenye meno kutafuna!!!