mwana fa akiwa na profesa j (kati) na ay kwa jide usiku kuamkia leo. mana fa ambaye amerudi freshi toka ukerewe alikoenda kwa shoo kadhaa zilizofanikiwa sana anatoa shukrani kwa wadau wote waliompa taffu pamoja na mapromota. anasema anawapenda na atarudi tena.

kwa upande wa ay tetesi zinasema anaruka karibuni kwenda marekani ambako kuna

hatari hatari akafanya projekti moja na akon. na tusubiri...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. jamani ivi why do tanzanian rappers never present themselves in a superstar kind of way!? embu cheki hapo ingekua nelly, pdiddy na lil weyn, wangekua wako superb.. bling kidogo, utanashati kidogo.. embu tujiinueinue

    mihuzi ukiibana hii coment,nitajua una lako jambo AMBALO SILO VIZURI.. kwani tunawapa ushauri! ila wewe na baadhi mnajaribu kuyarudisha nyuma maendeleo ya jamii! hajatukanwa mtu hapa

    ReplyDelete
  2. Katika wasanii wa ubongo wa fleva mi nazimika sana na F.A Binamu pamoja na The Heavyweight MC Profesa Jay. Nawapa big up sana na muendelee na kazi nzuri

    ReplyDelete
  3. ANNO wa 1, NANI KAKWAMBIA UTANASHATI, KUWA SUPERB AU KUINUKA KI-MAENDELEO NI KUVAA BLING BLING??? KWELI NDO MAANA WA BONGO WACHACHE WASIO JUA MAANA NA MAENDELEO WANAJIONAGA WAMEENDELEA WAKIVAA BLING MBILI TATU NA KUSAHAU MAMBO YA MSINGI YA MAENDELEO YA MTU BINAFSI. KUWA MKUBWA MWANANGU......

    ReplyDelete
  4. annon nov 9th 9@06 mimi ndio anon wa 1 ... huo ujumbe umeelekezwa kwa wasanii wa muziki wa bongoflavar,sasa wewe kishumundo ni underground au ni mwanamuziki wa bongoflavar? yajibu kwanza hayo,ndio nitakushauri zaidi

    asante kwa kukubaliana na mie michuzi,nakuweka hiyo comment.. ni USHAURI WA BURE!

    ReplyDelete
  5. Naungana ana ANON wa kwanza. Hawa jamaa ukiwa hapa ughaibuni ukimwambia mtu ni wanamuziki maarufu anaweza asiamini. Personality ni identity ni kitu muhimu sana. Hapa wanaonekana kama madalali wa mahindi pale sokoni tandale, wakisubiri wakulima toka mikoani wawadhulumu

    ReplyDelete
  6. sasa mi nawashangaa hao jamaa hapo juu wanabishana utadhani hawajui hali halisi ya mziki Tz,ok hizo hela zenyewe za kuvaa hizo bling bling ziko wapi jamani????

    ReplyDelete
  7. Naungana na ANON wa kwanza na wa tano,nawafagilia sana washkaji sana sana FA uko juu man,lakini tatizo moja mlilo nalo hampigi pamba,unajua msanii anatakiwa kuwa smart sio lazima bling bling(cheni kuubwa) but u shud look like super star washkaji,mnaonekana mmechoka sana,jua nini watu wangu!For ol superstar try to be like one...AY,FA,PRF JAY mko juuu kimziki na kimaendeleo but out fit naaaaa...

    ReplyDelete
  8. JAMANI BAADHI YA NDUGU ZANGU MNAOISHI NJE YA NCHI YAANI MNATUBOA SANA NA COMMENTS ZENU .......unaweza vipi kulinganisha kipato cha msanii maarufu wa marekani na wa kibongo?
    tabia zenu za kutukuza na kucompare mambo ya huko na huku halafu mnadharau kwenu mlikotoka si vizuri hata kidogo.toeni ushauri tu ila si kukandia na kuona bongo hakuna maisha ila huko mliko ndo kuna maisha.
    Tabia hiyo inawaponza na imewafanya baadhi yenu kutowekeza nyumbani na kuadhirika wanaporudi huku na kuwakuta wenzao wamepiga hatua kubwa maishani mifano iko mingi tu tusibishane kwa hilo sababu ukweli mnaujua.
    Hatukatai nchi za wenzetu wameendelea ila msipakandie kwenu jamani, sasa nani apaendeleze iwapo nyie mmekimbilia ughaibuni na mbaya zaidi hamtaki kurudi,kila kitu ni hatua na maendeleo yana stages pia kwa hiyo tutafika sababu hatukuanzia hapa tumetoka mbali zaidi.
    MKATAA KWAO MTUMWA.....NA KWA STYLE HII UKOLONI HAUTOKAA UISHE UTABADILI MIFUMO TU.

    ReplyDelete
  9. Superstar bongo? Hi inaoneka hapa..jamaa wamechoka kuanzia mavazi,face,pozi etc. Utazania wemeshuka kwenye Karandinga from Ukonga Prison.Jamaa wanashinda sana bar,kulala 2 to 3 hours kila siku, no gym..kwanini sura zisiwe kama wapo in late 40's..Kaka zetu mnatia aibu..at least wanamuziki wa kike wanajitahidi..U need to b smart everytime sio kwenye videos 2.

    ReplyDelete
  10. ANON 7:47 AM yaani shame on u....we unaonyesha unaweza kumkana mzazi wako sababu ya mavazi tu,kumbuka tuna culture tofauti sana kati yetu sisi watanzania na wewe uishio ughaibuni ninaposema culture simaanishi uchafu wa mavazi.JAY, BINAMU NA AY mmependeza tu na mko smart,achaneni na hao wabeba maboksi(baadhi) wenye stress za maisha.

    ReplyDelete
  11. mmh,siwezi kumkana mzazi wangu hata siku moja,ANON wa 12:10pm,unatakiwa kushauri pale unapoona hapajaenda sawa,acha kupotosha ukweli ndiyo huu! washkaji hawajapendeza hata kidogo,hawajapiga pamba,usoni wamechokaaa,hawana pozi kwenye camera,mambo vurugu vurugu,utafikiri walikuwa wameanikwa juani bwana,ANON 12:10pm USIPOTOSHE JAMII WASHKAJI HAWAJAPENDEZA.Unaongelea CULTURE???!!unajua culture wewe??!!FA,AY,PRF JAY NARUDIA TENA I LOVE UR MUSIC na nnapenda maendeleo mliyonayo kimziki na kimaisha pia ila out fit naaaaaaaaa!U SHUD CHANGE AND TRY TO LOOK LIKE A SUPER STAR...big up FA.

    ReplyDelete
  12. AY Check it out boy, you are getting loose with your mouth (eating!!) The pounds in you are not for your age and your profession,, too young to have that round face boy!! ... (dRU)

    ReplyDelete
  13. duh..kweli ay kanenepa,na kweli wanaonekana chokest hapo!dah! kweli mi naungana na watu huko juu,vaeni kisupastaa...hapa tunashndwa kutofautisha nyi watu maarufu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...