mtunzi na mwimbaji mahiri rogert hegga 'caterpillar (pili shoto) amerejea twanga pepeta tokea wiki mbili zilizopita na makali yake yameshaanza kuonekana. hapo juu yupo jukwaani mango garden usiku huu akiwa na chazz baba, amigoras, na lwia mbutu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Kaka hebu niweke sawa.
    Ili ripotiwa kuwa Amigolas ameamua kuachana na muziki na alikaririwa akisema Muziki haujamsaidia chochote sasa inakuwaje mbona bado namuona jukwaani na tangu hii isemwe ni miezi takribani miwili sasa.
    Hii imekaaje mkuu?

    ReplyDelete
  2. Twanga pepeta nimeipenda mwenyewe twanga pepeta nimeipenda mwenyewe hata shinyanga nitakwenda nayoooo na kule Arusha nitakwenda nayoo oooh.Nimeamini mjasiri haachi asili na nyumbani ni nyumbani yani waha jamaa wanapoondoka Twanga huondoka kwa mikogo,nyodo na kila kitu lakini wanakuja ishia pale pale kwenye kisima cha burudani.Hivi unajua kwa nini?ni kwamba Twanga ipo juuu siku zote nafikiri hudhani wakiondoka twanga itakufa lakini ndio kwanza yazidi kushine.Hongera Asha wee waache watapetape tu watarudi tu.Ndege atazunguka siku nzima lakini atarudi bandani tu.Pinda mugongo yoyooo....pinda mugongo yoyooo....Nimeimiss Twanga ile mbafaya.Asha tuletee Twanga USA tupinde mugongo

    ReplyDelete
  3. Njaa kali!

    ReplyDelete
  4. Ni kama vile bisi (pop-corns) zirukavyo kwenye kikaango na baadaye kuishia kurejea pale pale!

    Ndio maana mie namuheshimu pasi unafiki dada Luisa Mbutu, mama nina zawadi yako siku nikitia namba maskani na kujitambilisha kwa jina langu - Obhwataso Impokochole.

    ReplyDelete
  5. Nadhani wiki ijayo tutamuona Ali naye karejea. Afu nilisoma gazeti moja nikasikia msafiri (Sokoine) alikamatwa akipora imefikia wapi?? Njaa bwana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...