Kwako Michuzi,
angalia conspiracy rule inavyo-play hapo. Ati Atlantis Trvel wanasema Fundu Lagoon na Mnemba lodge zipo Kenya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ndugu yangu mdau hayo ni mambo ya marketing ali muradi wewe ufike huko. Hayo ya kusema kuwa yako Tanzania ni yako wewe na unaouringia utanzania wako. Recently nilikuwa bangkong nikaona tangazo likisema utapelekwa mlima kilimanjaro ambao ni masaa 3 tu kutoka Johanesburg. Upo hapo? Hiyo ndiyo biashara. Tabu yetu sisi tunapenda siasa mno. Mara oh Tanzania the Land of Nyerere mara jamani Kilimanjaro uko Tanzania n.k. Yes it is in Tz administratively. Lakini pia upo Kenya touristically.Unabisha?

    ReplyDelete
  2. hahahahahahaaaaaa
    admin upo Tz na touristically Kny???aiseeee
    3 hrs form J'bourg??
    siii mchezo aya kazi kwet wa-Tz
    ukitaka shindana na jangili lzm nawe km sio uwe jangili basi uwe na characterz kidogo za "ujangili"ili uwini

    ReplyDelete
  3. Marketing at whose cost? Think of this hao watalii wanaokuja wakapitia Kenya wanaikosesha mapato TZ kwa vile dhamira yao ni kuja lets say Fundi lagoon au Mnemba lodge sasa wanashukia Nairobi tunakosa landing Tax then wanatumia cab ya Naii tunalosa mapato mengine, halafu after that watalala Naiiii tunakosa mapato baada ya hapo watafanya shopin mapato mengine yanakosekana ndo mana ninapinga one visa for EA denstination huu ni ujinga sisi hatuna miundo mbinu ya kufaidi huo mpango hao watalii watakuja watashuka Nairobi thet means tayari zaidi ya 100$ inaingia kwao maana watakuja na Kenya Airways sisi tunalala Air Tanzania na mbwembwe nyingi za kuanzishwa, imeshakufa tayari.

    kwahiyo we mjinga hapo juu acha kudanganywa Marketing theories haziwi hivyo huu ni wizi na pia kuhusu swala la Mlima Kilimanjaro kusema uko Kenya si sawa kwa vile wao kuweza kuuona kutoka Amboseli haimaanishi uko Kenya Mlima Kilimnjaro uko 30km toka mpaka wa TZ na Kenya.

    ReplyDelete
  4. Sawa inawezekana mimi ni mjinga. Mimi niachokueleza hicho ndicho kinachofanyika.Wewe kama umeishi tanzania nau umetembelea nchi za far east, ukineda dukani mwenye akili ya biashara hakuambii kitu unachokitafuta kuwa hana. Anakuambia anacho na utakipata baada ya madakika au masaa lakini ukweli anaenda kukinunua kwa alie nacho halafu anakuletea of course kaweka na profita margin yake juu. Hiyo ndiyo biashara. Wewe kazana kuita 'uwizi au udanganyifu au utapeli' la muhimu ni kuwa product imekuwa delivered. Hiyo ndiyo biashara ambayo kwangu mimi na marketing.Kilimanjaro unaweza ukaonekana 30 kms from amboseli na mtu akitaka kuupanda bado atawezeshwa na mkenya kuupanda ikibidi hata kupitia marangu. Tatizo liko wapi. Acha kulia be smart man.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...