mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni. jamani hasheem thabeet anaitangaza vilivyo bongo huko ughaibuni. sidhani kama asingekuwa supa staa japo bado yuko chuo angegusa kava ya magazeti mbalimbali makubwa ya mpira wa kikapu. Mungu atupe nini tena....Bofya hapo chini upate mwandani wake
11/11/hasheem.the.dream/index.html


Hongera wee unayetoka kwenye magazetu ya ukweli na ya maana sio wale wanaoenda CVS na kuprint ya kwao na kutuma picha humu
ReplyDeleteKweli tumwombee Mungu huyu kijana one day yes
Michuzi angalia hii link, wananukuu globu ya jamii - yenye highest traffic in the land.Michuzi blog siyo mchezo, traditional media zimekosa mwelekeo.
ReplyDeleteMimi ni mdau nili comment kuhusu hili gazeti hapo chini. Naomba nifute kauli yangu ya wivu tu.
ReplyDeleteKwa kweli Hasheem ni mzalendo halisi, anawaacha wasichana wazuri kama huyu kwenye picha anakuja kufanya urafiki na warembo wa nyumbani lazima tumpongeze kwa hilo. Ninaungana na mwanakijiji alivyosema kwenye shairi lake kwamba kitumbua cha nyumbani ni kitamu.
ReplyDeleteGlobu ya jamii haingopi. Big up wadau.
ReplyDeleteThabeet, umefanya bidii kijana..ongeza juhudi, maarifa na umtangulize Mungu. Ndoto zako zitatimia. Unaonyesha njia kwa watoto wa Tanzania na Afrika popote walipo. Nakutakia kila la kheri.
ReplyDeleteInaleta raha! Hasheem inabidi bado atengeneze zaidi (low post moves), baada ya hapo package itakuwa imekamilika. Tunakutakia kila la kheri, maana hii inaonyesha kweli "Nyota njema huonekana mapeeeema".
ReplyDeleteBabao
such inspiring piece of article. thx for sharing. we need to support this kid thru thick and thin, keep him on his toes for the better.
ReplyDeleteBalozi wa Z,kudos kwa kupewa pande.
Mdau NY.
heeeeeeeeeeeeee yan uyo dada apo ni mrembo?? kwa lipi
ReplyDeleteavokomaa km mbeba vyuma dumeeeeee
duh
congrats hashimu thabiti kwa hatua zuri,,,keep it up baby
HAYA NYIE WABONGO MNAOSEMA WA ULAYA WABEBA MABOKSI ONGEENI SASA NA MIDOMO YENU MIREEEEEEEEEEFUUUUUUU !! !
ReplyDeleteHUU NDIO UKWELI, NOT HATING
ReplyDeleteHata kama Hasheem ataenda NBA, Wamarekani walivyo wapumbavu watajua kuwa ametoka Afrika sio Tanzania.
Ni wamarekani wachache sana wanajua Dikembe Mutombo ametoka nchi gani. Wao hujua Afrika ni moja
Wewe mdau hapo juu huyu dama ambaye unashangaa unapoambiwa huyu dada ni mrefu sijui kama unajua urembo wa marekani ni upi. Angalia hiyo smile, mikono ilivyojengeka vizuri, mrefu, hana manyama uzembe etc. Usishangae sana ndiyo maana US haiwezi kuja kutoa Miss World mtazamo wa urembo ni tofauti kidogo.
ReplyDeleteWe unayesema huyo mdada sio mrembo kisa kakomaa uliambiwa urembo ni kukomaa au kuwa soft?
ReplyDeleteit's sad that he had to 'americanize' his name. is it neo-colonialism, inferiority complex, or just a coolness factor? why can't we just keep our names in our original spelling? - Naomba mnijibu wadau
ReplyDeleteWewe mdau unayetaka jibu ni kwa nini he had to 'americanize' his name. Jibu ni very simple. Obama alibadilisha jina lake toka Baraka kuwa Barack na kwa melezo yake maana ya Barack ni sawa na baraka. Obama ilibidi aikane dini ya baba yake mzazi ndiyo maana sasa hivi ni rais wa Marekani. Kama vile aitoshi alilazimishwa kusema kuwa yuko upande mmoja na wayahudi ingawa moyoni mwake siyo hivi.
ReplyDeleteAlinifuraisha sana dada Palin aliposema mlango ukifunguka mbele yako utumie na usisubiri ufungwe. Hivi wachina wanavyobadili majina yao huko Marekani na kujiita William au John ni neo-colonialism? Hayo maneno yanu neo-colonialism, inferiority complex, or a coolness factor mtumie kwenye mitihani tu, in real life kila mtu kivyake.
duh we annoy wa apo juu 4.47 umenifurahisha sana yani huwaga sitoagi comments lkn imebidi nitoe ni kweli kbs watu wanataka walinganishe kila kitu duh vitu vingine mkisoma madarasi uko viacheni uko uko kwenye real life mambo ni tofauti!!
ReplyDeletekila mtu na maisha yake haswaaaa!lazima uwe opportunist bwana!big up
hivi wewe mdau fulani hapo juu ulieanza sentensi yako kwa kudai hasheem ni mzalendo kisa anawatongozeni waswahili wenzie uko timamu lkn kweli wewe?eti ukadai pia kuwa ona kawaacha warembo wazuri kama hao anakuja kwa waswahili wenzie hehehe,dah ama kweli mnawaza ngono tu wabongo,mie umeniboa sio kwavile wamepiga picha tu ndio akimtaka atamchukua kama ww hapo unavyoonyesha akikufata huyo KINGKONG HUMAN BORN hasheem utamkimbia hadi bwanaako,
ReplyDelete