kikosi cha kuvuta kamba cha ikulu s.c.
timu ya netiboli ya ikulu s.c.

habari toka mji kasoro bahari zinasema ikulu sports club imeweza kuingiza nusu fainali timu za kuvuta kamba wanawake na wanaume pamoja na netiboli katika michezo ya shimiwi huko mji kasoro bahari. nusu fainali hizo zinapigwa leo


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Duuh!! Huyu mnyamwezi kibonge ya mtu kumbe bado wamo!!! Hongera sana wavuta kamba na kwa mtu kama hii mtashinda tuu ....(dRU)

    ReplyDelete
  2. mhh!! IKULU???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...