Home
Unlabelled
JK katika nondozzz za st. augustine mwanza leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Naam...Mashaalah,hongera na pongezi wabongo wenzangu tuliobaki nchini...bila ya uchu na tamaa ya kwenda nje kubeba maboksi,kusafisha vyoo,kuishi kweni mabweni ya kukodi na kujiiga niganiga!!!
ReplyDeleteMUNGU IBARIKI TANZANIA NA WASOMI WAKE
We Annon wa 9:17, hebu kuwa mkweli. Hivi unafikiri hao wahitimu hawaoti kuja huku mtoni? Umekosea sana. Na siyo kila mtanzania aliyeko nje anafanya hayo uliyosema. Waulize wote hapo wangependa digrii zao zilizobaki wakazitafute wapi...... MTONI!!
ReplyDeleteHuyo Fransisca Binamungu ndiye Fransisca Augustiono?
ReplyDeleteanony wa kwanza inaelekea una hasira saana tu sijui ya nini? Sasa wanaoenda nje kubeba mabox huwaoni ni werevu? kama wanabeba box,kusafisha vyoo na kumaliza shule si uwape wenzako hongera? Hawana baba wakuwalipia hapo bongo sasa ulitaka wapige debe?
ReplyDeletematani wetu wa jadi wanachangiana harambee kumpatia mtu nauli aende majuu siye maneno ya kashfa, majungu na kudhalilishana watu wakienda kutafuta maisha.
Shauri yako utakalia maneno lakini wenzako wanaendelea.
Njoo mwenyewe ujionee hao unaowaita wabeba mabox maisha yao....mmekalia kudanganyana tu huko wakati ukweli hamuujui.
Maisha ya mmbeba box ambaye bado hajamaliza shule ni 1000 times better kuliko mtu anayegraduate college bongo kama hana fisadi wa kumsaidia kutafuta kazi mara amalizapo chuo na waliomaliza college ndio usiseme. Na ni wangapi walichoka maisha ya huku na wala hawakwenda shule na wamerudi bongo na sasa wana kazi za maana tu kuliko hao walioenda shule? usicheze na exposure. Kuishi huku kwenyewe ni elimu na hao wasouth na mainverstor wanaelewa ndio maana mtu akishuka hana hata degree lakini wanampa kazi.
I feel sorry for you
Balozi Mithupu! naomba pix ya dada NSIA SWAI..au kama atasoma hii blog apost pix yake nasikia kala nondo ya mass media comm.
ReplyDeletemnachoshindwa kukielewa sijui hapo ni kipi wadau?huyo anon wa mwanzo na wengine weeeeengi tu walioko home roho zinawakwangua kwanini hawako wao majuu sema hawana jinsi tu washajaribu kuingia embassies karibia zote na wakadunda wakaishiwa kuliwa vihela vyao vya maombi ya viza na viza wakatoswa pia kwahio lazima ajenge chuki kwa hao anaowaita wabeba boksi lkn anakosea manaake sio wabeba boksi wanaozidi kuzihamisha sehemu za kuombea visa kwahio huyo bongo bado yupo yupo sana tu,pongezi uk embassy kuhamisha maombi ya visa nje ya bongo ila mngenikuna zaidi kama mngeyahamishia mbali zaidi ya hapo kama south vile
ReplyDeleteKwanza hongera kwa wahitimu wote. nina suali moja hivi kwa nini kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana kusoma shahada ya Mass communication? imekuwa kama miaka ya nyuma kila mmoja alopokuwa anasoma fild mbali mbali za engineering na accountant na baadae IT, sasa kila mtu ni Mass communication degree!
ReplyDeleteAnonym. wa 9.17PM awali ya yote huna akili.@@@@¬¬¬"""£$%€€Xschwiii!!!
ReplyDeleteUsisikie mpiga box wa majuu ukanifananisha na maofisa vibarua wa bongo, lahasha!!! kwa taarifa yako, mshahara wangu wa wiki moja ni sawa na katibu mkuu wa wizara ya elimu ya juu inayowafukuza ovyo kaka, dada, na wapwa zako vyuo vikuu bila kujua chanzo cha mgomo ni nini.
Ni mpiga box, sawa na nina nondozz mbili na sasa ninasaka ya tatu mdogo wangu, na pia nawasomesha wadogo zangu shule za st nanii, sio wewe hata ya yeboyebo mzazi wako kashindwa kukulipia.###~~@@¬¬¬*&((***&*Mpuu$$$zi mkubwa we. Watu tunapiga box ili tuje tuwekeze kwenye asasi zisizo za kiserikali ilikwayo tukulipieni shule nyie mloshindwa kusomeshwa na wazazi wenu, kaa tu hapo ufisadi utakumalizeni. Pundamilia we¬¬¬??@**&¬¬ au ZEROSE mkubwa we,XCSXCHWIIIIIII>>>>....
MPIGA BOX
Anon wa kwanza wivu tu unakusumbu. Hebu kasikilize kale ka wimbo ka Twanga na Choki ka "afrika", hatutaki jilasi.
ReplyDeleteTakoz
Ze box juuu juuu juuu zaidi. Mi napiga ze box lakini mshahara wangu unazidi docta wa bongo. Yeeeeeeee
ReplyDeletehiki chuo kina web site...? mimi nimejaribu kutafuta sipati au kuna anayejua contact zake. Tafadhali naomba. (mmpungi@yahoo.com.au)sante...
ReplyDeleteyan watu badala ya kupongeza graduates wamekazania annon wa 1 weeee kisa kasema wabeba box,,,teh teh teh
ReplyDeleterudini bongo tuone ivo dalaz mwazosema km zitakuwepo,,,hahahahaa na wake zenu wa kizungu wawakimbie,,hahaaa
heee michu umefika adi bugando gradueshen???au mmojawapo apo bintiz ni nguguzo???
duh hongereni saaaaana washkaji kwa ku-finish versity krb duniani ktk vita na life ndo ilo
habari ndo hii uwe fisadi au mcha-Muumba
Annon wa kwanza Umekosea kusema hayo maneno, na annon wa pili ambaye nahisi yuko majuu naye akakosea kuliko huyo wa kwanza lakini kituko kilikuwa kwa annon wa November 23, saa 8:55, kwa maoni yangu watu wote waliochangia humu ndani huyo ndio baba lao kwa uziro. Labda hapa tuwekane sawa kidogo huyu ziro anasema mshaara wake wa wiki ni sawa na wakatibu mkuu wa wizara ya elimu unayofukuza ovyo wanafunzi, unaona hapa ufala wake unavyoonekana hivi ni wizara ndiyo inafukuza wanafunzi tena hovyo!? Hiyo moja mbili unajua mshahara wa huyo katibu mkuu (ambaye kwa upeo wake anadhani analipwa sana kuliko watu wengi wa bongo) hajui kuwa huwa anasevu kila mwezi na wala halipii TV, appartment, Joto (Gesi) na muda mwingi wa kupumzika sasa mwambieni huyu limbukeni atupe mchanganuo wake kama huwa anasevu hata dola mbili? na hata anaposaidia wadogo zake ujue anajinyima sana. Kwa taarifa yako mie nasoma huku state degree ya pili ya sayansi ya computer kwahiyo najua nini nafanya na uache ulimbukeni wa kuzarau kwenu jifunze kutofautisha kati ya shilingi 10,000 ya dar hapo city (Hapa tufanannishe na state)centre 10,000 ya Makambako (Hapa tufanannishe na Tanzania) katika purchasing power
ReplyDelete