Mashindano ya kwanza ya Miss Burundi yamefanyika mjini Bujumbura wikendi ilopita na mhsindi kupatikana. shoto ni 2nd runner up Marie Claire Panafrica,Miss Burundi 2008 Kaneza Alida,1st Runner up Nkurunziza Evelyne.
Wadau wa East Africa Model Search nao walikuwepo. toka kushoto Sammy,Michelle,Tuma,Ange na Bertille.
Frank,Michelle,Tuma and Winnie



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. mmmh!! aya tunaomba amani zaidi kwa Taifa hili

    ReplyDelete
  2. Duh! Hwa wakija bongo si wote watakuwa na ma-miss kila mwaka! Wanapendeza kwa kweli

    ReplyDelete
  3. Hongereni ma Miss wa Burundi!Mnakaribishwa sana Tanzania kuja kusalimiaga wandugu wenu jamani!You are so beautifull!Winnie nakusalimia kwa sana!Visit us in Dar,Mwanza,Arusha and so many other attractive places like Spicy Zanzibar!Karibuni!Tunawapendaga Wandugu!

    ReplyDelete
  4. Tulikuwa nao warembo kama hawa pale UDSM miaka ya 1995 wakisoma sheria. Walikuwa kama 6 hivi. Walifanya kosa kurudi kwao baada ya kumaliza tu. Taaluma ziliishia airport. Nikiwatazama hawa, nasikitika sana.. Roho inaniuma. Nakua kama nawaona wale wakina dada. They were too you and beatful to die so prematurely!

    ReplyDelete
  5. kweli hao mabinti ni wazuri,duh.mungu awasaidie nchi yao iwe na amani,tutaenda kuchukua wachumba

    ReplyDelete
  6. Mdau hapo juu, wakija bongo wataambulia patupu, shenzi type kagame type Tsu wahead, wamekalia kuuana na kuvamia majirani zao Congo

    ReplyDelete
  7. Mi naona kwenye picha ya chini Michelle na Bertille wangekuwa kwenye mchuano ndo wangepaswa kuwa washindi maana wanawaka si mchezo.....

    ReplyDelete
  8. Madem waKirundi na wanyarwanda jamani wazuri eti wadau mnasemaje??

    ReplyDelete
  9. Hawa watoto wanshindia maziwa ya mgando na nyama za kuchoma,ugali wa muhogo kwa mbali,hakuna mkorogo.Tena kinachofurahisha hawaringi hata kidogo,lakini kwetu bongo demu alishindania miss kata tu basi salamu mpaka umuanze wewe tena atajishauri ajibu au la.

    Nawashauri wadae watembelee Jiji la Bujumbura ukajionee mambo haya kwa kuwa kuna amani sasa.Wabongo wanafagaliwa sana na ukimwi si mwingi sana(Usiache Kuvaa Condom Lakini)

    Sina la zaidi
    Mdau wa Sinza

    ReplyDelete
  10. They need some meat on their body.

    ReplyDelete
  11. Labda ni macho yangu yananidanganya.
    Wanaonekana washindi wote ni WATUTSI.

    ReplyDelete
  12. How East Africa model agency's women????? Those three women need to eat.

    ReplyDelete
  13. Goddam wamekondeana! Hebu washauri wale chakula jamani. Mikono kma mgonjwa wa Ukimwi!

    ReplyDelete
  14. Aminia..madem wazuri kweli.

    ReplyDelete
  15. We nani kakwambia mamiss wanene??always ma miss ni wembamba acha ushamba.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...