Haya Michuzi picha za wajumbe wa kikao cha SADC Parliamentary Forum wakiwa katika mapumziko AICC baada ya hotuba ya ufunguzi ya Mhe Mizengo Pinda
Haya Michuzi picha za wajumbe wa kikao cha SADC Parliament Forum wakiwa katika mapumziko AICC hapa A-town baada ya hotuba ya ufunguzi ya waziri mkuu Mhe Mizengo Pinda leo


Huyo picha ya pili chini kushoto ni cross dresser au ndio kwa mwendo wa thy love your culture?
ReplyDeleteDu yule bwana wa kushoto kule kanikumbusha mwaka 1993 wakati nakula nondo swaziland hawaachi utamaduni wao wa mavazi na dada zao hawana noma mhh nimeacha wapenzi wengi kule hahahaha
ReplyDelete